Kwanini Serikali inafanyia kazi zaidi maoni ya wabunge wa upinzani kuliko yale ya wabunge wa CCM?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,915
141,874
Kwa mfano swala la wabunge wa CCM kutaka kilimo cha bhangi kihalalishwe maoni yaliyotollewa na mh Msukuma na mh Kishimba yametupiliwa mbali.

Lakini mawazo kama hayo yangetolewa na Chadema, serikali ingedai itayafanyia utafiti wa kisayansi.

Ninachojiuliza Wabunge wa CCM wanafeli wapi?

Maendeleo hayana vyama!
 
Wabunge wa upinzani ndio wako bungeni kihalali kwa kura za wananchi, wabunge wa ccm wanaingia bungeni kwa kutumia njia za panya kama tume ya uchaguzi na vyombo vya dola, hivyo huwa hawawakilishi wananchi bali kuilinda serikali.
 
sisiemu hawana reasoning, wamejaa ushabiki tu..

hawana hoja na hawajui kutetea, wao wanasubiri upinzani walete mada mezani then wawe against, faki'em

CCM oyeee
 
Haihitaji siasa kujua kuwa hayo ni mawazo ya kipumbavu. Bangi haijaruhusiwa watu wanapagawa kwa kuvuta kisirisiri. Je ukiruhusu si ndio utauwa kabisa hiki kizazi za kata K.
 
Acha uzoba dogo
Wabunge wa upinzani ndio wako bungeni kihalali kwa kura za wananchi, wabunge wa ccm wanaingia bungeni kwa kutumia njia za panya kama tume ya uchaguzi na vyombo vya dola, hivyo huwa hawawakilishi wananchi bali kuilinda serikali.
 
Yohana mbatizaji umeumia sana na bange naona na raisi kwa Mara ya kwanza wametifautiana na bunge
 
Mawazo ya bang kutoka kwa wavutaji wazoefu chadema
Kwa mfano swala la wabunge wa CCM kutaka kilimo cha bhangi kihalalishwe maoni yaliyotollewa na mh Msukuma na mh Kishimba yametupiliwa mbali.

Lakini mawazo kama hayo yangetolewa na Chadema, serikali ingedai itayafanyia utafiti wa kisayansi.

Ninachojiuliza Wabunge wa CCM wanafeli wapi?

Maendeleo hayana vyama!
 
Kwa mfano swala la wabunge wa CCM kutaka kilimo cha bhangi kihalalishwe maoni yaliyotollewa na mh Msukuma na mh Kishimba yametupiliwa mbali.

Lakini mawazo kama hayo yangetolewa na Chadema, serikali ingedai itayafanyia utafiti wa kisayansi.

Ninachojiuliza Wabunge wa CCM wanafeli wapi?

Maendeleo hayana vyama!
Na hili hamtaki? Si ndio vizuri, kazi ya bunge!
 
Ili kesho na keshokutwa wasiseme tena. Wenzao wanachelea kuitwa kwenye party caucus
 
Kwa mfano swala la wabunge wa CCM kutaka kilimo cha bhangi kihalalishwe maoni yaliyotollewa na mh Msukuma na mh Kishimba yametupiliwa mbali.

Lakini mawazo kama hayo yangetolewa na Chadema, serikali ingedai itayafanyia utafiti wa kisayansi.

Ninachojiuliza Wabunge wa CCM wanafeli wapi?

Maendeleo hayana vyama!
Wale wa CCM ambao wanaonekana wana mawazo endelevu (Constructive Ideas) wanaonekana ni wasaliti. Halafu pia Upinzani kumejaa Vichwa vilivyopita kihalali wakati CCM kumejaa watu (sijasema vilaza) waliopitishwa na Tume, Polisi, DEDs, etc
 
Back
Top Bottom