#COVID19 Kwanini Serikali imekurupuka kwenye chanjo ya COVID-19?

Jee Corona ipo au haipo Tanzania? Na kama ipo jee ulitaka nini kifanyike ili kuokoa maisha ya watu?
Hili ni swali muhimu sana kwa watanzania kujiuliza. Ni ufikiriaji ambao kwa sasa ni muhimu kwa watu wengi lakini kwa bahati mbaya watu wamejikita kwenye mijadala ya mbele,lakin kaka umeleta sehemu muhimu ambayo inabidi iwe mwanzo wa safari yetu na uviko19.
 
conspiracy
There is no such a thing "conspiracy ". It is a term coined by a rouge state intelligence to discredit free thinkers. Unfortunately, It is working for most of people around the world. I am not sure either you are among them or not!
===
Ili kuondoa stintofahamu hii, serikali ama kwa siri ama kwa uwazi ianze mkakati wa kutengeneza chanjo dhidi ya magonjwa ikiwe uviko hapa nchini kwakutumia wataalamu wetu wanoaminika, msisitizo wanaoaminika. Serikali ikifanya hivi itaungwa mkono na watanzania wengi mpaka ishangae.
 
wagonjwa wa,
1.KISUKARI
2.PRESHA
3.MOYO
4.SARATANI
5.UKIMWI
wagonjwa wa maradhi hayo wanapaswa wachue tahadhari sana maana Corona itatumaliza sana.
 
Back
Top Bottom