Hii iliisha kitambo mzee baba. Ilikuwa na Season 6. Mimi niliicheki mwaka 2016 wakati ule kuna zile site za kudownload kwa kuandika index of lost season 4 labda, inakuletea episodes zote. Pita kwenye library za karibu na vyuo vikuu utaipata, au ingia telegram ujipakulie wew mwenyewe