Kwanini scientists (wanasayansi) hatuamini katika Mungu?

Kwanini scientists (wanasayansi) hatuamini katika Mungu?

Mungu yupo. Acha uwenda wazmu. Kama huamini Mungu. Basi nenda kasome kitabu cha kale kuliko cha kwako ambcho umewahi kukisoma. Kinasema Mungu alisema Neno basi ulimwengu ukawepo. Nikiwa na maana kuwa ulimwengu haukuwepo ila mungu alweza kuutoa ulimwengu ambao hata kwenye fikra haukuwepo ukawepo. Sasa kama ww ni mwanasayansi fanya kitu ambcho hakikuwepo kwenye hata fkra zaka kikawepo. Ww umepewa utashi wa kutumia material things. "Ila huna uwezo wa kutoa kitu ambcho hata hukuwahi fikiria kikawepo." Soma zaidi biblia kwenye uumbaji utajua kama ngombe na wanyama wengne walitokea kama bahati au walinenewa neno na Mungu.
 
Wakuu salama humu? Japo nina mawazo ya hapa na pale ila ntaendelea na mijadala pitia MMU kuna uzi kule nahitaji sana shauri zenu

Back to the topics Je kipi kinatupelekea scientists kuwa atheist tusioamini ktk mungu kwanza tuelewe misingi ya sayansi ni kujua jambo,Kulitathimini,kulichunguza na sambamba na kutoa hitimisho Je nini kinachotufanya tuone mungu ni nadharia isiyokuwepo? Walimu wetu kama mtume,Yesu,Abraham, Musa,Daudi na wengineo walieleza sana habari za mungu muumba sambamba na ukuu wake waliandika walioyo yasikia au waliyosimuliwa na kuyaweka ktk maandishi kiukweli ni miaka mingi sana lakini sijui ni nani alikuja kusema mambo haya ni fixed yani hayatabadilika hata itokee nini huyo ndo alio aribu kasahau kuwa kila kitu kibabadilika sasa huyu anaetaka tuishi kwa miongozo ya kina musa wakati huu wa karne ya 21 ana akili kweli? Nagusa juu juu tu mimi ni astronomer ambao ni miongoni mwa wana sayansi tusiokubali kuwa whole universe imekuwa designed na mtu nina nondo nyingi ntazishusha ndani ya thread karibuni
Yaani kwa sayansi yako ndogo sana ambayo imetokana na vitu mwenye javyo yaani Mungu imekusabisha uone hakuna Mungu? What a shame. Watu kama ninyi ndio Mungu anasema anapowatazama kutoka mbinguni anawaona mmekufa ingawa mnatembea. Subiri ufe na kimwili ndo utajua kuna Mungu.
 
nauliza swali la kawaida binadamu tumetoka wapi SITAKI HABARI ZA SOKWE.
 
" Scientist " ndiyo kiumbe gani ? Namna ya kumtambua huyo Scientist ikoje ?
Funguka mwenye akili nyingi hadi zimemwagika zote
 
Nakaribisha maswali kaka bichwa lina nondoo mpaka najisikia ovyo kuona raia wako blind ivi na din bize na. mungu
Is it possible "something from nothing"?. Hii nayo si ni nadharia? Naomba Maelezo yako mkuu.
 
Wakuu salama humu? Japo nina mawazo ya hapa na pale ila ntaendelea na mijadala pitia MMU kuna uzi kule nahitaji sana shauri zenu

Back to the topics Je kipi kinatupelekea scientists kuwa atheist tusioamini ktk mungu kwanza tuelewe misingi ya sayansi ni kujua jambo,Kulitathimini,kulichunguza na sambamba na kutoa hitimisho Je nini kinachotufanya tuone mungu ni nadharia isiyokuwepo? Walimu wetu kama mtume,Yesu,Abraham, Musa,Daudi na wengineo walieleza sana habari za mungu muumba sambamba na ukuu wake waliandika walioyo yasikia au waliyosimuliwa na kuyaweka ktk maandishi kiukweli ni miaka mingi sana lakini sijui ni nani alikuja kusema mambo haya ni fixed yani hayatabadilika hata itokee nini huyo ndo alio aribu kasahau kuwa kila kitu kibabadilika sasa huyu anaetaka tuishi kwa miongozo ya kina musa wakati huu wa karne ya 21 ana akili kweli? Nagusa juu juu tu mimi ni astronomer ambao ni miongoni mwa wana sayansi tusiokubali kuwa whole universe imekuwa designed na mtu nina nondo nyingi ntazishusha ndani ya thread karibuni

Naona nipingane na wewe kwa kuwa mimi pia ni Scientist na ni Engineer.

Kuna matabaka matatu ya watu.
1. Wanaoamini uwepo wa Mungu/Miungu (Mono/Poly-theists)
2. Wasioamini kabisa uwepo wa Mungu (Atheists)
3. Wanaojifunza ukweli uko wapi (Agnostics)

Wana sayansi wengi wako kwenye kundi la 3.

Samahani kama nitawapoteza watu kwa kinachofuatia. Naahidi kurudi kwenye lugha ya kawaida si punde.

Tuchukulie wewe kama Astronomer. Katika fani yako unakubaliana na dhana ya "the Big-Bang Theory". Katika dhana hii unajua kuwa kulikuwa na Singularity (utupu, pure energy). Mlipuko wa Big-Bang ulipotokea basi nishati (pure energy) ilibadilika kuwa matter (mainly Hydrogen) kupitia fields za HIGGS-BOSONS. Wanasayansi kama wewe baada ya kuthibitisha uwepo wa hizi fields za Higgs kwenye ile collider ya Switzerland wanaamini kuwa inawezekana kuumba matter kutoka nishati. Hii imepelekea hizi fields za Higgs kuitwa GOD's particles. Kwa maneno mengine, wanasayansi wamemuona MUNGU na uwezo wake wa kuumba kupitia Higgs bosons.

Baada ya vitu kuumbwa (kupitia Big Bang, na Mungu?) vinaweza kubadilika (evolution) kadri muda unavyopita. Kwa hiyo wanasayansi wote wanakubaliana kuwa vitu viliumbwa (created) wakati wa Big-Bang. Baadae vika-evolve (Jua kuchoma hydrogen-Helium-Carbon-Oxygen...-Iron...Super Nova ... Star dust + Heavy metals ... - planetary systems - sisi mburula tunaomjadili Mungu).

Wanasayansi wengi hawajui ni nini kilichoumba vitu wakati wa Big Bang (yaani kama ni MUNGU au ni kitu kingine kama Higgs fields) na ndio maana wengi wako katika kundi la tau (Agnostics).

Mwana sayansi aliebobea anaesema haamini uwepo wa Mungu (Atheist) mimi nina wasiwasi sana na sayansi aliyosoma.

Mimi nijiseme mwenyewe kuwa niko kwenye kundi la Agnostics.
 
Wakuu salama humu? Japo nina mawazo ya hapa na pale ila ntaendelea na mijadala pitia MMU kuna uzi kule nahitaji sana shauri zenu

Back to the topics Je kipi kinatupelekea scientists kuwa atheist tusioamini ktk mungu kwanza tuelewe misingi ya sayansi ni kujua jambo,Kulitathimini,kulichunguza na sambamba na kutoa hitimisho Je nini kinachotufanya tuone mungu ni nadharia isiyokuwepo? Walimu wetu kama mtume,Yesu,Abraham, Musa,Daudi na wengineo walieleza sana habari za mungu muumba sambamba na ukuu wake waliandika walioyo yasikia au waliyosimuliwa na kuyaweka ktk maandishi kiukweli ni miaka mingi sana lakini sijui ni nani alikuja kusema mambo haya ni fixed yani hayatabadilika hata itokee nini huyo ndo alio aribu kasahau kuwa kila kitu kibabadilika sasa huyu anaetaka tuishi kwa miongozo ya kina musa wakati huu wa karne ya 21 ana akili kweli? Nagusa juu juu tu mimi ni astronomer ambao ni miongoni mwa wana sayansi tusiokubali kuwa whole universe imekuwa designed na mtu nina nondo nyingi ntazishusha ndani ya thread karibuni
umechangia nini katika sayansi? nani alikwambia wanasayansi wote hawaamini Mungu?
 
I can prove science inside Quran..kwanini hujiulizi why Armstrong convertrd to Islam ?
Armstrong hakuwai kuweka wazi imani yake. Ila aliulizwa juu ya imani yake akasema yeye ni Diest.
Kipindi anaomba kazi NASA kwenye kipengele cha dini aliweka "no religion preference ".ALipokufa mwili wake ulichomwa moto na majivu yake kutupwa baharini Kama alivyoandika kwenue wosia wake.
96cd1348bf59fb315e3f2470de70d1a0.jpg


97cca052e4498fb2b1e767d938079e65.jpg

Hizo ni picha za mazishi ya neil Armstrong.
Neil Armstrong’s Religion and Political Views
 
Wanasayansi maarufu wanaoamini katika Mungu.

Nicholas Copernicus (1473-1543)
Copernicus was the Polish astronomer who put forward the first mathematically based system of planets going around the sun. He attended various European universities, and became a Canon in the Catholic church in 1497. His new system was actually first presented in the Vatican gardens in 1533 before Pope Clement VII who approved, and urged Copernicus to publish it around this time. Copernicus was never under any threat of religious persecution - and was urged to publish both by Catholic Bishop Guise, Cardinal Schonberg, and the Protestant Professor George Rheticus. Copernicus referred sometimes to God in his works, and did not see his system as in conflict with the Bible.
Sir Francis Bacon (1561-1627)
Bacon was a philosopher who is known for establishing the scientific method of inquiry based on experimentation and inductive reasoning. In De Interpretatione Naturae Prooemium, Bacon established his goals as being the discovery of truth, service to his country, and service to the church. Although his work was based upon experimentation and reasoning, he rejected atheism as being the result of insufficient depth of philosophy, stating, "It is true, that a little philosophy inclineth man’s mind to atheism, but depth in philosophy bringeth men's minds about to religion; for while the mind of man looketh upon second causes scattered, it may sometimes rest in them, and go no further; but when it beholdeth the chain of them confederate, and linked together, it must needs fly to Providence and Deity." (Of Atheism)
Johannes Kepler (1571-1630)
Kepler was a brilliant mathematician and astronomer. He did early work on light, and established the laws of planetary motion about the sun. He also came close to reaching the Newtonian concept of universal gravity - well before Newton was born! His introduction of the idea of force in astronomy changed it radically in a modern direction. Kepler was an extremely sincere and pious Lutheran, whose works on astronomy contain writings about how space and the heavenly bodies represent the Trinity. Kepler suffered no persecution for his open avowal of the sun-centered system, and, indeed, was allowed as a Protestant to stay in Catholic Graz as a Professor (1595-1600) when other Protestants had been expelled!
Galileo Galilei (1564-1642)
Galileo is often remembered for his conflict with the Roman Catholic Church. His controversial work on the solar system was published in 1633. It had no proofs of a sun-centered system (Galileo's telescope discoveries did not indicate a moving earth) and his one "proof" based upon the tides was invalid. It ignored the correct elliptical orbits of planets published twenty five years earlier by Kepler. Since his work finished by putting the Pope's favorite argument in the mouth of the simpleton in the dialogue, the Pope (an old friend of Galileo's) was very offended. After the "trial" and being forbidden to teach the sun-centered system, Galileo did his most useful theoretical work, which was on dynamics. Galileo expressly said that the Bible cannot err, and saw his system as an alternate interpretation of the biblical texts.
Rene Descartes (1596-1650)
Descartes was a French mathematician, scientist and philosopher who has been called the father of modern philosophy. His school studies made him dissatisfied with previous philosophy: He had a deep religious faith as a Roman Catholic, which he retained to his dying day, along with a resolute, passionate desire to discover the truth. At the age of 24 he had a dream, and felt the vocational call to seek to bring knowledge together in one system of thought. His system began by asking what could be known if all else were doubted - suggesting the famous "I think therefore I am". Actually, it is often forgotten that the next step for Descartes was to establish the near certainty of the existence of God - for only if God both exists and would not want us to be deceived by our experiences - can we trust our senses and logical thought processes. God is, therefore, central to his whole philosophy. What he really wanted to see was that his philosophy be adopted as standard Roman Catholic teaching. Rene Descartes and Francis Bacon (1561-1626) are generally regarded as the key figures in the development of scientific methodology. Both had systems in which God was important, and both seem more devout than the average for their era.
Blaise Pascal (1623-1662)
Pascal was a French mathematician, physicist, inventor, writer and theologian. In mathematics, he published a treatise on the subject of projective geometry and established the foundation for probability theory. Pascal invented a mechanical calculator, and established the principles of vacuums and the pressure of air. He was raised a Roman Catholic, but in 1654 had a religious vision of God, which turned the direction of his study from science to theology. Pascal began publishing a theological work, Lettres provinciales, in 1656. His most influential theological work, the Pensées ("Thoughts"), was a defense of Christianity, which was published after his death. The most famous concept from Pensées was Pascal's Wager. Pascal's last words were, "May God never abandon me."
Isaac Newton (1642-1727)
In optics, mechanics, and mathematics, Newton was a figure of undisputed genius and innovation. In all his science (including chemistry) he saw mathematics and numbers as central. What is less well known is that he was devoutly religious and saw numbers as involved in understanding God's plan for history from the Bible. He did a considerable work on biblical numerology, and, though aspects of his beliefs were not orthodox, he thought theology was very important. In his system of physics, God was essential to the nature and absoluteness of space. In Principia he stated, "The most beautiful system of the sun, planets, and comets, could only proceed from the counsel and dominion of an intelligent and powerful Being."
Robert Boyle (1791-1867)
One of the founders and key early members of the Royal Society, Boyle gave his name to "Boyle's Law" for gases, and also wrote an important work on chemistry. Encyclopedia Britannica says of him: "By his will he endowed a series of Boyle lectures, or sermons, which still continue, 'for proving the Christian religion against notorious infidels...' As a devout Protestant, Boyle took a special interest in promoting the Christian religion abroad, giving money to translate and publish the New Testament into Irish and Turkish. In 1690 he developed his theological views in The Christian Virtuoso, which he wrote to show that the study of nature was a central religious duty." Boyle wrote against atheists in his day (the notion that atheism is a modern invention is a myth), and was clearly much more devoutly Christian than the average in his era.
Michael Faraday (1791-1867)
Michael Faraday was the son of a blacksmith who became one of the greatest scientists of the 19th century. His work on electricity and magnetism not only revolutionized physics, but led to much of our lifestyles today, which depends on them (including computers and telephone lines and, so, web sites). Faraday was a devoutly Christian member of the Sandemanians, which significantly influenced him and strongly affected the way in which he approached and interpreted nature. Originating from Presbyterians, the Sandemanians rejected the idea of state churches, and tried to go back to a New Testament type of Christianity.
Gregor Mendel (1822-1884)
Mendel was the first to lay the mathematical foundations of genetics, in what came to be called "Mendelianism". He began his research in 1856 (three years before Darwin published his Origin of Species) in the garden of the Monastery in which he was a monk. Mendel was elected Abbot of his Monastery in 1868. His work remained comparatively unknown until the turn of the century, when a new generation of botanists began finding similar results and "rediscovered" him (though their ideas were not identical to his). An interesting point is that the 1860's was notable for formation of the X-Club, which was dedicated to lessening religious influences and propagating an image of "conflict" between science and religion. One sympathizer was Darwin's cousin Francis Galton, whose scientific interest was in genetics (a proponent of eugenics - selective breeding among humans to "improve" the stock). He was writing how the "priestly mind" was not conducive to science while, at around the same time, an Austrian monk was making the breakthrough in genetics. The rediscovery of the work of Mendel came too late to affect Galton's contribution.
William Thomson Kelvin (1824-1907)
Kelvin was foremost among the small group of British scientists who helped to lay the foundations of modern physics. His work covered many areas of physics, and he was said to have more letters after his name than anyone else in the Commonwealth, since he received numerous honorary degrees from European Universities, which recognized the value of his work. He was a very committed Christian, who was certainly more religious than the average for his era. Interestingly, his fellow physicists George Gabriel Stokes (1819-1903) and James Clerk Maxwell (1831-1879) were also men of deep Christian commitment, in an era when many were nominal, apathetic, or anti-Christian. The Encyclopedia Britannica says "Maxwell is regarded by most modern physicists as the scientist of the 19th century who had the greatest influence on 20th century physics; he is ranked with Sir Isaac Newton and Albert Einstein for the fundamental nature of his contributions." Lord Kelvin was an Old Earth creationist, who estimated the Earth's age to be somewhere between 20 million and 100 million years, with an upper limit at 500 million years based on cooling rates (a low estimate due to his lack of knowledge about radiogenic heating).
Max Planck (1858-1947)
Planck made many contributions to physics, but is best known for quantum theory, which revolutionized our understanding of the atomic and sub-atomic worlds. In his 1937 lecture "Religion and Naturwissenschaft," Planck expressed the view that God is everywhere present, and held that "the holiness of the unintelligible Godhead is conveyed by the holiness of symbols." Atheists, he thought, attach too much importance to what are merely symbols. Planck was a churchwarden from 1920 until his death, and believed in an almighty, all-knowing, beneficent God (though not necessarily a personal one). Both science and religion wage a "tireless battle against skepticism and dogmatism, against unbelief and superstition" with the goal "toward God!"
Albert Einstein (1879-1955)
Einstein is probably the best known and most highly revered scientist of the twentieth century, and is associated with major revolutions in our thinking about time, gravity, and the conversion of matter to energy (E=mc2). Although never coming to belief in a personal God, he recognized the impossibility of a non-created universe. The Encyclopedia Britannica says of him: "Firmly denying atheism, Einstein expressed a belief in "Spinoza's God who reveals himself in the harmony of what exists." This actually motivated his interest in science, as he once remarked to a young physicist: "I want to know how God created this world, I am not interested in this or that phenomenon, in the spectrum of this or that element. I want to know His thoughts, the rest are details." Einstein's famous epithet on the "uncertainty principle" was "God does not play dice" - and to him this was a real statement about a God in whom he believed. A famous saying of his was "Science without religion is lame, religion without science is blind."
 
Mbona uarabuni wanasayansi wengi tu wana swali.
Waarabu walikuwa juu kipindi cha karne 8-14 kipindi ambacho kiliitwa "Islamic golden age" hata mtu wa kwanza kusuggest dunia sio center of universe, corpenecus kwenye "Revolution of heavenly bodies" aliwanukuu wanasayansi Kama watano hivi wa kiarabu ambao ni al-Battaan,al-bitruji,ibn rushd wengine nimewasahau ila tangu kuibuka kwa west waarabu wako hoi kwenye ishu za sayansi wao wanaendekeza migogoro ya kidini na kiitikadi tu.
 
Wakuu salama humu? Japo nina mawazo ya hapa na pale ila ntaendelea na mijadala pitia MMU kuna uzi kule nahitaji sana shauri zenu

Back to the topics Je kipi kinatupelekea scientists kuwa atheist tusioamini ktk mungu kwanza tuelewe misingi ya sayansi ni kujua jambo,Kulitathimini,kulichunguza na sambamba na kutoa hitimisho Je nini kinachotufanya tuone mungu ni nadharia isiyokuwepo? Walimu wetu kama mtume,Yesu,Abraham, Musa,Daudi na wengineo walieleza sana habari za mungu muumba sambamba na ukuu wake waliandika walioyo yasikia au waliyosimuliwa na kuyaweka ktk maandishi kiukweli ni miaka mingi sana lakini sijui ni nani alikuja kusema mambo haya ni fixed yani hayatabadilika hata itokee nini huyo ndo alio aribu kasahau kuwa kila kitu kibabadilika sasa huyu anaetaka tuishi kwa miongozo ya kina musa wakati huu wa karne ya 21 ana akili kweli? Nagusa juu juu tu mimi ni astronomer ambao ni miongoni mwa wana sayansi tusiokubali kuwa whole universe imekuwa designed na mtu nina nondo nyingi ntazishusha ndani ya thread karibuni
Suala la mungu ni suala la imani,huwa mnalisahau hili jambo. Na ndiyo maana mada hizi huwa hazina mwisho maana kila upande unakuwa unajadili kwa mtazamo wa ulimwengu tofauti na mwenzie,na hatima yake anayeamini kuna mungu anaonekana anashindwa kuthibitisha uwepo wa mungu na hata anayedai hakuna mungu anashindwa kuthibitisha dai lake hilo.
 
Emptyless to something its only God who has this power. Human being star from something to things.
 
We sayansi yako haijakusaidia kitu mkuu.
Ni nani alisema mwanasayansi haamini uwepo wa Mungu?
Au ulimaanisha wanasayansi hawajathibitisha uwepo wa Mungu pasipo na shaka?
Kasome vizuri "theories of origin of life" na jikite vizuri kwenye "naturalistic theory"
 
Back
Top Bottom