Kwanini scientists (wanasayansi) hatuamini katika Mungu?

Kwanini scientists (wanasayansi) hatuamini katika Mungu?

Nitafute nikupe darasa...usiishi kwa kukariri.
Mimi siishi kwa kukariri Kama wewe ulivyokariri Quran kwamba ndo sayansi. Mimi naishi kwa kujifunza vitu mbalimbali hata vile ambavyo siviamini na ukitaka nikuambie hata wanasayansi wa kale wa China au Korea nitakwambia. Ninachoona unapenda kusikia kile unachoamini kuwa ni kweli hata Kama si kweli. Ngoja basi nikuridhishe ni kwamba namba 1,2,3,4,5,6,7,8,9 zinaitwa Arabic number system zililetwa ulaya karne 11nadhani hapo utakuwa umefurahi. Wenzako wazungu kila siku wanagundua vitu na kufanya tafiti wewe bado unaishi kwenye ndoto za medieval times. Amka ndugu yangu acha dini iplay part yake na sayansi pia iplay part yake.
 
Sitaki uniamini, nataka ujue.

The key is logical consistency.
My logical consistency is derived from religion..Islam to b specific..which u dont believe...so if I tell u about the existance of Allah 1000 times still u wont accept..

Why ?....bcoz u chose not to accept.
 
Sema "mimi intelsat siamini uwepo wa Mungu"...siyo kweli kwamba scientists hawaamini,baadhi yao just like any other communities...kuna scenario nyingi tu ambazo hata science haijaweza kuzipa full explanation,ikiwepo uwepo wa Mungu, therefore it's too much of a generalisation kuchagua aspect ya Mungu tu ku-justify kuwepo au kutokuwepo kwake.
 
You talk of facts like force of gravity,gravitational forces,magnetic fields,elements,etc...All of which can be calculated scientifically and arthmetically...utaishia kuvicalculate tu na science yako ndo itaishia hapo...science will never explain vimetoka wapi hivyo vitu,to mention a few
 
Naona nipingane na wewe kwa kuwa mimi pia ni Scientist na ni Engineer.

Kuna matabaka matatu ya watu.
1. Wanaoamini uwepo wa Mungu/Miungu (Mono/Poly-theists)
2. Wasioamini kabisa uwepo wa Mungu (Atheists)
3. Wanaojifunza ukweli uko wapi (Agnostics)

Wana sayansi wengi wako kwenye kundi la 3.

Samahani kama nitawapoteza watu kwa kinachofuatia. Naahidi kurudi kwenye lugha ya kawaida si punde.

Tuchukulie wewe kama Astronomer. Katika fani yako unakubaliana na dhana ya "the Big-Bang Theory". Katika dhana hii unajua kuwa kulikuwa na Singularity (utupu, pure energy). Mlipuko wa Big-Bang ulipotokea basi nishati (pure energy) ilibadilika kuwa matter (mainly Hydrogen) kupitia fields za HIGGS-BOSONS. Wanasayansi kama wewe baada ya kuthibitisha uwepo wa hizi fields za Higgs kwenye ile collider ya Switzerland wanaamini kuwa inawezekana kuumba matter kutoka nishati. Hii imepelekea hizi fields za Higgs kuitwa GOD's particles. Kwa maneno mengine, wanasayansi wamemuona MUNGU na uwezo wake wa kuumba kupitia Higgs bosons.

Baada ya vitu kuumbwa (kupitia Big Bang, na Mungu?) vinaweza kubadilika (evolution) kadri muda unavyopita. Kwa hiyo wanasayansi wote wanakubaliana kuwa vitu viliumbwa (created) wakati wa Big-Bang. Baadae vika-evolve (Jua kuchoma hydrogen-Helium-Carbon-Oxygen...-Iron...Super Nova ... Star dust + Heavy metals ... - planetary systems - sisi mburula tunaomjadili Mungu).

Wanasayansi wengi hawajui ni nini kilichoumba vitu wakati wa Big Bang (yaani kama ni MUNGU au ni kitu kingine kama Higgs fields) na ndio maana wengi wako katika kundi la tau (Agnostics).

Mwana sayansi aliebobea anaesema haamini uwepo wa Mungu (Atheist) mimi nina wasiwasi sana na sayansi aliyosoma.

Mimi nijiseme mwenyewe kuwa niko kwenye kundi la Agnostics.
Nimekuelewa sana Mr.
 
hivi wale astronomer wenzako waliotoka mashariki ya mbali kwenda kumtambua Yesu wao nao ni wanasayansi?
 
U
Mungu yupo. Acha uwenda wazmu. Kama huamini Mungu. Basi nenda kasome kitabu cha kale kuliko cha kwako ambcho umewahi kukisoma. Kinasema Mungu alisema Neno basi ulimwengu ukawepo. Nikiwa na maana kuwa ulimwengu haukuwepo ila mungu alweza kuutoa ulimwengu ambao hata kwenye fikra haukuwepo ukawepo. Sasa kama ww ni mwanasayansi fanya kitu ambcho hakikuwepo kwenye hata fkra zaka kikawepo. Ww umepewa utashi wa kutumia material things. Ila huna uwezo wa kutoa kitu ambcho hata hukuwahi fikiria kikawepo. Soma zaidi biblia kwenye uumbaji utajua kama ngombe na wanyama wengne walitokea kama bahati au walinenewa neno na Mungu.
unazungumzia scientist wa kukopy na kupaste au wavumbuzi?
Bwana ndio wacha MUNGU wazuri hao materialist Kama kingunge ndio hawaamini uwepo wa MUNGU
 
My logical consistency is derived from religion..Islam to b specific..which u dont believe...so if I tell u about the existance of Allah 1000 times still u wont accept..

Why ?....bcoz u chose not to accept.
Islam is not logically consistent. Because the Quran, which Islam is based on, is not logically consistent.

The Quran says Allah will seal some people's hearts, eyes and ears so that they will not be able to know him however hard they try.

Then Allah will punish them for not knowing him.

This is supposed to be the all knowing, all loving and all powerful godhead.

How can you reconcile that as being logically consistent?
 
Wakuu salama humu? Japo nina mawazo ya hapa na pale ila ntaendelea na mijadala pitia MMU kuna uzi kule nahitaji sana shauri zenu

Back to the topics Je kipi kinatupelekea scientists kuwa atheist tusioamini ktk mungu kwanza tuelewe misingi ya sayansi ni kujua jambo,Kulitathimini,kulichunguza na sambamba na kutoa hitimisho Je nini kinachotufanya tuone mungu ni nadharia isiyokuwepo? Walimu wetu kama mtume,Yesu,Abraham, Musa,Daudi na wengineo walieleza sana habari za mungu muumba sambamba na ukuu wake waliandika walioyo yasikia au waliyosimuliwa na kuyaweka ktk maandishi kiukweli ni miaka mingi sana lakini sijui ni nani alikuja kusema mambo haya ni fixed yani hayatabadilika hata itokee nini huyo ndo alio aribu kasahau kuwa kila kitu kibabadilika sasa huyu anaetaka tuishi kwa miongozo ya kina musa wakati huu wa karne ya 21 ana akili kweli? Nagusa juu juu tu mimi ni astronomer ambao ni miongoni mwa wana sayansi tusiokubali kuwa whole universe imekuwa designed na mtu nina nondo nyingi ntazishusha ndani ya thread karibuni
Kabla ya Generalization yako hio jiulize:
Uliwah sikia mambo ya uchaw?
Uliamin/ Unaamini upo?
Umewahi kusikia au kuona mambo yaliyofanywa kichaw?
Mimi naamini upo ila hauchunguzk kwangu mimi ni Supernatural power.
Kuna vitu vipo beyond human thinking ability .
Umecritisize tu Bible, Huwez jua may be Bible ina shortcomings zake ila Super natural power IPO Na Mungu yupo Ila Bible itakua imeandka either right or wrong about him.
Swali lingne What was source of the Universe?
 
Back
Top Bottom