Intelsat
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 323
- 532
Wakuu salama humu? Japo nina mawazo ya hapa na pale ila ntaendelea na mijadala pitia MMU kuna uzi kule nahitaji sana shauri zenu
Back to the topics Je kipi kinatupelekea scientists kuwa atheist tusioamini ktk mungu kwanza tuelewe misingi ya sayansi ni kujua jambo,Kulitathimini,kulichunguza na sambamba na kutoa hitimisho Je nini kinachotufanya tuone mungu ni nadharia isiyokuwepo? Walimu wetu kama mtume,Yesu,Abraham, Musa,Daudi na wengineo walieleza sana habari za mungu muumba sambamba na ukuu wake waliandika walioyo yasikia au waliyosimuliwa na kuyaweka ktk maandishi kiukweli ni miaka mingi sana lakini sijui ni nani alikuja kusema mambo haya ni fixed yani hayatabadilika hata itokee nini huyo ndo alio aribu kasahau kuwa kila kitu kibabadilika sasa huyu anaetaka tuishi kwa miongozo ya kina musa wakati huu wa karne ya 21 ana akili kweli? Nagusa juu juu tu mimi ni astronomer ambao ni miongoni mwa wana sayansi tusiokubali kuwa whole universe imekuwa designed na mtu nina nondo nyingi ntazishusha ndani ya thread karibuni