Kwanini scientists (wanasayansi) hatuamini katika Mungu?

Kwanini scientists (wanasayansi) hatuamini katika Mungu?

Kweli kabisa.

Waarabu walikuwa juu kipindi cha karne 8-14 kipindi ambacho kiliitwa "Islamic golden age" hata mtu wa kwanza kusuggest dunia sio center of universe, corpenecus kwenye "Revolution of heavenly bodies" aliwanukuu wanasayansi Kama watano hivi wa kiarabu ambao ni al-Battaan,al-bitruji,ibn rushd wengine nimewasahau ila tangu kuibuka kwa west waarabu wako hoi kwenye ishu za sayansi wao wanaendekeza migogoro ya kidini na kiitikadi tu.
 
A
Mungu yupo. Acha uwenda wazmu. Kama huamini Mungu. Basi nenda kasome kitabu cha kale kuliko cha kwako ambcho umewahi kukisoma. Kinasema Mungu alisema Neno basi ulimwengu ukawepo. Nikiwa na maana kuwa ulimwengu haukuwepo ila mungu alweza kuutoa ulimwengu ambao hata kwenye fikra haukuwepo ukawepo. Sasa kama ww ni mwanasayansi fanya kitu ambcho hakikuwepo kwenye hata fkra zaka kikawepo. Ww umepewa utashi wa kutumia material things. Ila huna uwezo wa kutoa kitu ambcho hata hukuwahi fikiria kikawepo. Soma zaidi biblia kwenye uumbaji utajua kama ngombe na wanyama wengne walitokea kama bahati au walinenewa neno na Mungu.

Sababu hamna maelezo ya kisayansi kuhusu uwepo wa Mungu.
Hili swali sio kwa wanasayansi tu, hata baadhi ya wasomi huumiza kichwa uwepo wa Mungu.

Nakupongeza kwa jibu zuri. Mungu yupo ni Mtakatifu wa Watakàtifu Muumba mbingu na dunia na vitu vyote vinavyo onekana na visivyo onekana. Binadamu tumeumbwa nae na kwa mfano wake. Yeye ni mwanzo na mwisho wa kila kitu. Atawahukumu wazima na wafu na ufalme wake hauna mwisho.

Swali kwa mtoa mada. Hivi sisimizi anajua uwepo wa binadamu na shughuli zake?

Kama hajui lakini wote si viumbe?

Je , mtoto mchanga tumboni mwa mama yake anajua dunia ilivyo kabla ya kuzaliwa na kukua?? Halikadhalika mtoa mada hajitambui na sayansi yake. Elimu juu ya Mungu ni kubwa isivyoelezeka!! Nikubwa kuliko Elimu ya ubongo wake na mwili wako mzima. Kutaka kujua uwepo wa Mungu kutumia sayansi haiwezikani kwa sababu sayansi nikama tone moja la Maji katika Bahari ya Hindi. Kwa lugha nyepesi ni kusema kwamba Elimu ya sayansi ni ndogo haiwezi ku prove uwepo wa Mungu. Ila Elimu ya Mungu kujifunza Uwepo wake ni rahisi kuelewa uwepo wake.Nenda kwenye Kanisa linalomhubiri Mungu au Jengo la ibada ya Mungu wa kweli utafundishwa na utaelewa uwepo wa Mungu. Watu wengi wabishi kama wewe wamebadilika sembuse wewe!?? Fungua Moyo wako na wewe utafunuliwa mengi usiyoyajua na sayansi yako. Msifuni Bwana viumbe vyote kwa maana amefanya mambo ya ajabu. Amen.
 
Is it possible "something from nothing"?. Hii nayo si ni nadharia? Naomba Maelezo yako mkuu.
Yes, with a qualifier: It is possible to get matter (something) from pure energy (non-matter or "nothing"). Scientifically proven na sio nadharia tena.
 
Kuishi kwingi ni kuona mengi kama hadi keo hujaona jua bangi uliyovuta ni ya kichina
 
Wakuu salama humu? Japo nina mawazo ya hapa na pale ila ntaendelea na mijadala pitia MMU kuna uzi kule nahitaji sana shauri zenu

Back to the topics Je kipi kinatupelekea scientists kuwa atheist tusioamini ktk mungu kwanza tuelewe misingi ya sayansi ni kujua jambo,Kulitathimini,kulichunguza na sambamba na kutoa hitimisho Je nini kinachotufanya tuone mungu ni nadharia isiyokuwepo? Walimu wetu kama mtume,Yesu,Abraham, Musa,Daudi na wengineo walieleza sana habari za mungu muumba sambamba na ukuu wake waliandika walioyo yasikia au waliyosimuliwa na kuyaweka ktk maandishi kiukweli ni miaka mingi sana lakini sijui ni nani alikuja kusema mambo haya ni fixed yani hayatabadilika hata itokee nini huyo ndo alio aribu kasahau kuwa kila kitu kibabadilika sasa huyu anaetaka tuishi kwa miongozo ya kina musa wakati huu wa karne ya 21 ana akili kweli? Nagusa juu juu tu mimi ni astronomer ambao ni miongoni mwa wana sayansi tusiokubali kuwa whole universe imekuwa designed na mtu nina nondo nyingi ntazishusha ndani ya thread karibuni

Mungu hathibitishiki. Sayansi haikubali vitu visivyothibittishika.
 
Is it possible "something from nothing"?. Hii nayo si ni nadharia? Naomba Maelezo yako mkuu.
Hiyo inawezekana hata huyo mungu alicreate someting from nothing!!
 
Dini ni imani hats huyu jamaa yetu nae ana dini ndio maana imani yeke haimtambui uwepo was mungu ila hajijui ili tumuone yupo sahihi wazuie vifo ndipo tutawaamini lasivyo wanaporojo tu
 
Kama Mungu hayupo kwanini tunakufa,kwanini tulizaliwa?sisi Ni mifano ya nani??
 
Waarabu walikuwa juu kipindi cha karne 8-14 kipindi ambacho kiliitwa "Islamic golden age" hata mtu wa kwanza kusuggest dunia sio center of universe, corpenecus kwenye "Revolution of heavenly bodies" aliwanukuu wanasayansi Kama watano hivi wa kiarabu ambao ni al-Battaan,al-bitruji,ibn rushd wengine nimewasahau ila tangu kuibuka kwa west waarabu wako hoi kwenye ishu za sayansi wao wanaendekeza migogoro ya kidini na kiitikadi tu.
Quran is science itself...
 
A

Nakupongeza kwa jibu zuri. Mungu yupo ni Mtakatifu wa Watakàtifu Muumba mbingu na dunia na vitu vyote vinavyo onekana na visivyo onekana. Binadamu tumeumbwa nae na kwa mfano wake. Yeye ni mwanzo na mwisho wa kila kitu. Atawahukumu wazima na wafu na ufalme wake hauna mwisho.

Swali kwa mtoa mada. Hivi sisimizi anajua uwepo wa binadamu na shughuli zake?

Kama hajui lakini wote si viumbe?

Je , mtoto mchanga tumbini mwa mama yake anajua dunia ilivyo kabla ya kuzaliwa na kukua?? Halikadhalika mtoa mada hajitambui na sayansi yake. Elimu juu ya Mungu ni kubwa isivyoelezeka!! Nikubwa kuliko Elimu ya ubongo wako na mwili wako mzima. Kutaka kujua uwepo wa Mungu kutumia sayansi haiwezikani kwa sababu sayansi nikama tone moja la Maji katika Bahari ya Hindi. Kwa lugha nyepesi ni kusema kwamba Elimu ya sayansi ni ndogo haiwezi ku prove uwepo wa Mungu. Ila Elimu ya Mungu kujifunza Uwepo wake ni rahisi kuelewa uwepo wake.Nenda kwenye Kanisa linalomhubiri Mungu au Jengo la ibada ya Mungu wa kweli utafundishwa na utaelewa uwepo wa Mungu. Watu wengi wabishi kama wewe wamebadulika sembuse wewe!?? Fungua Moyo wako na wewe utafunuliwa mengi usiyoyajua na sayansi yako. Msifuni Bwana viumbe vyote kwa maana amefanya mambo ya ajabu. Amen.
Tatizo watu hawana imani na wanakimbilia kudai hakuna Mungu
 
Quran is science itself...
Wewe umegundua nini kupitia hiyo Quran?. Kwenye hizi zama acha kuchanganya dini na sayansi. Usiwe unapenda vitu kuhadithiwa na kukubali tu bila hata kupitia kwa undani. Wenzako wako wanaangaika na matafiti na ndio wanagundua vitu wewe bado upo kwenye Giza LA kuamini mafundisho ya dini ndo sayansi.
 
wanasansi mnajisahau sana ndiyo maana mara mnatuambia kuna sayari kubwa inakarbia dunia, mbona hamjiulizi kwanini dunia na ulimwengu vipo tokea miaka yote na vimetokana na nini? nadhani sisi binadamu tunapita tu tena miaka michache tu 0 -70 wakati dunia iko miaka kibao iliyopita. maarifa uliyoko nayo yanayokufanya usiamini Mungu ni 0.0001.005 ya kuhusu ulimwengu.
 
Wewe umegundua nini kupitia hiyo Quran?. Kwenye hizi zama acha kuchanganya dini na sayansi. Usiwe unapenda vitu kuhadithiwa na kukubali tu bila hata kupitia kwa undani. Wenzako wako wanaangaika na matafiti na ndio wanagundua vitu wewe bado upo kwenye Giza LA kuamini mafundisho ya dini ndo sayansi.
Nitafute nikupe darasa...usiishi kwa kukariri.
 
Back
Top Bottom