Kwanini Samsung asitengeneze OS yake?

[emoji15] [emoji15] ndugu, mtu awe na simu ya 1000k useme hakuona status inayopatikana apple, mpaka akaachana nayo!!!!!

Kwamba uwe na 6s uonekane unazo, ila mwenye s7 hana pesa,nimeshangaa huu mtizamo.
 
Kwahiyo mkuu unaniambia ukifanya random sampling ya watumiaji 10 wa android ambao wakipewa iphone wataikataa kutokana na sababu ulizotoa hapo juu?

Kama wataikataa au hawataikataa hilo halina maana.

Watu kumi wakisema jua linazunguka dunia,na dunia haizunguki jua,watu hao kusema hivyo kutafanya jua lizunguke dunia?

Argue facts,usiangalie watu wanachochagua.

If a million flies eat shit, do you want to eat shit too because a million flies eat shit?
 
Natumia simu kwa basic stuffs kama kupiga na kupokea simu, kusoma na kujibu emails, kuweka some productivity apps ambazo naweza kuziaccess nisipokuwa na PC na kuingia social networks pale nnapojisikia.
Kuna projects ambazo siwezi kuzifanya kwa simu hata iweje mfano analysis na kuandika some reports. Na hata PC's zipo za heavy or light user. Sasa simu haiwezi fanya hata kazi za light pc.
Naamini kuna watu wengi hasa watu wazima hawapendi kuzifungua simu zao bila sababu.
Binafsi sioni mantiki ya kuifungua simu hata iweje. Hizo memory cards sioni mantiki ya kuwa nayo kama vitu vya maingi vipo kwenye PC.
 
Unatumia simu kwa basic stuff, mimi ni power user.

Hatuwezi kuwa sawa.

Na unapo rate kitu, hutakiwi kuki rate kwa kuangalia mtu anayekitumia kwa basic usage.

Unatakiwa kuki rate kwa kuangalia power user anatumiaje.

Ukirate kwa basic user you might as well go back to letter writing and smoke signals.

Hizo simu zenu Apple zinaweza kuwa sawa kwenu basic users, lakini kwa advanced/ power users si simu za maana kabisa.
 
Mkuu namiliki Nokia 1520. Sina iphone. Nlishawahi kumiliki iphone mwaka jana ndo maana naisemea sana.
Nshawahi miliki Galaxy S3 ilinidisapoint sana. Ndio maana hadi leo sinunui Android.
Ila watu wangu wa karibu nawasukumia kwenye android kwasababu najua inazoeleka kirahisi kuliko Windows au ios platform.
 
[emoji15] [emoji15] ndugu, mtu awe na simu ya 1000k useme hakuona status inayopatikana apple, mpaka akaachana nayo!!!!!

Kwamba uwe na 6s uonekane unazo, ila mwenye s7 hana pesa,nimeshangaa huu mtizamo.
Hujanielewa mkuu.
Nimesema majority wanamiliki Adroid kwasababu option yao imeishia hapo.
 
sasa kutokana na hii test A3 ipo chini kidogo ya 1520 ila hazitatofautiana sana na A7 ipo juu kidogo ya 1520 kwa ukaaji chaji.

Ukumbuke A series ni premium products zisizo na specs kubwa, ukitaka specs ni note na S series
 
Si kila asiyependa Apple anatumia Samsung.

Mimi nimeacha Samsung kwa sababu nimepata matatizo na simu zao na simu zao mpya zinakosa removable batteries.

Kwa hiyo ukiongelea udhaifu wa Samsung tu, kuna simu nyingi sana za Android hujazigusa bado.
 

Correction: Single core ndio mshindi sio multiple core



Na kwenye swala la simu kuharibika ni kitu cha kawaida maana hizi ni electronics ambazo zinakuwa assembled at high numbers kwani iPhone hazifi motherboard au hazina tatizo lolote la kiufundi kama zingekuwa perfect pitia reddit post kwenye r/iPhone na uone hata iPhone zinakufa logic board, camera, fingerprint sensors n.k


"Android zinabeba specs nyingi na kubwa ila bado end user haifurahii simu yake baada ya muda"

Research yako hii mpaka ukafikia hii conclusion ilikuwa na sample size ya watu wangapi labda labda. Simu za android umezitumia zamani sana naona chukua hela mwisho wa mwaka nunua Flagship ya Sony, HTC, Samsung, One Plus au Pixel za 2017 then ukuniambie android sio nitaamini kwako sio.
 
Hujanielewa mkuu.
Nimesema majority wanamiliki Adroid kwasababu option yao imeishia hapo.
Sasa wanaomiliki Android wakati wana option ya Apple nao utawasemaje?

Mimi leo nina option ya kupata Apple mpya bure, lakini siitaki.

Utanisemaje mtu kama mimi?
 
sasa kutokana na hii test A3 ipo chini kidogo ya 1520 ila hazitatofautiana sana na A7 ipo juu kidogo ya 1520 kwa ukaaji chaji.

Ukumbuke A series ni premium products zisizo na specs kubwa, ukitaka specs ni note na S series
Fine. Nimekupata.
Let's assume mtu ana 500,000. Mwambie simu yeyote nzuri ya android ambayo akiitumia hatojuta. Performance wise, battery life nk. Android yeyote.
 
Si kila asiyependa Apple anatumia Samsung.

Mimi nimeacha Samsung kwa sababu nimepata matatizo na simu zao na simu zao mpya zinakosa removable batteries.

Kwa hiyo ukiongelea udhaifu wa Samsung tu, kuna simu nyingi sana za Android hujazigusa bado.
Sawa mkuu. Nimekupata.
Unaionaje Nexus Pixel? Unaitabiria makubwa sokoni?
 
Sawa mkuu. Nimekupata.
Unaionaje Nexus Pixel? Unaitabiria makubwa sokoni?
Kawaida huwa sina interest na kuangalia soko.

Nina interest na kuangalia ninachohitaji mimi.

Ndiyo maana sipo katika mkumbo wa kuchagua simu iliyo fashionable wakati najijua mahitaji yangu si fashionable kwani nataka ku download internet nzima nitembee nayo mfukoni.

Hapo sijaongelea Library of Congress na Archives za Vatican bado.
 
kweli kbsaa, km ulishawah kutumia window phone na ukaja kutumia android, ndo utaona utofaut, sim za android inafka mda hata km n simu kali, ila features zao zinachosha na zinakufanya uichoke simu, Anayetumia S7 edge ya almost 1.3M hakuna tofaut na anayetumia tecno w4 ya lak 2, in term of apps, tofaut kubwa n kwamba tecno n MTK while samsung wanatumia snapdragon
 
Yaani jamii forum kuna vichwa kweli, haya madude yanayojadiliwa humu naona maluweluwe pamoja n kuwa na kadegree kangu uchwara. Nawaonea huruma watu ambao hawapitiagi humu JF, kuna mambo ambayo huwezi kuyapata kirahisi either mtaani u kazini. Ndo maana watu huwa wananishangaa kutokana na maarifa ninayoyapata humu.
 
Haujakosea IST na Mercedes s class zote zinakutoa point A na kukupeleka point B.. windows phone users ama kweli kuna nut zipo loose akilini mwenu sio bure.
 
Mkuu umetisha. Kazi unayo kweli.

Mkuu naomba unijibu hili swali, unatembea na battery 4 na memory card 10 mfukoni?
 
Pia hata BlackBerry OS ilibuma
 
Hujanielewa mkuu.
Nimesema majority wanamiliki Adroid kwasababu option yao imeishia hapo.
Sawa,
una maana mwenye z4, A9, A8, p9, g5 au s6 alikosa hela ya kununua 6s????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ