Pure_sapiens
JF-Expert Member
- Dec 25, 2016
- 2,251
- 2,131
Sasa kwanini matajiri wanaupenda huu mchezo,hakuna power ndani ya huu mchezo.Try to think behind the sceneni kwa sababu ni mchezo ambao maskini na wapiga majungu wengi hawauelewi, golf si kama mpira wa miguu, golf unahitaji watu wachache tu sio kama mpira wa miguu uliojaa umbea na majungu
Sio kwamba ni mchezo wa matajiri ila ilizoeleka hivyo Mkuu.ni kwa sababu ni mchezo ambao maskini na wapiga majungu wengi hawauelewi, golf si kama mpira wa miguu, golf unahitaji watu wachache tu sio kama mpira wa miguu uliojaa umbea na majungu
Hata michezi ya Farasi inaonekana inafanywa na wenye pesa ni kwa sababu masikini kufuga farasi ni shughuri
Sio kwamba ni mchezo wa matajiri ila ilizoeleka hivyo Mkuu. Tigerwood ndo mtu peker alie vunja huo mwiko.
Hata michezi ya Farasi inaonekana inafanywa na wenye pesa ni kwa sababu masikini kufuga farasi ni shughuri
KwakweliMBONA MIMI NACHEZA NA SINA HELA
Kwa Tanzania facilities za Golf ni hadimu sana, yaani supply iliyopo inazidi demand ndo maana hata ushiriki wake ni wa gharama kubwa ili kupunguza idadi ya watu watakao ucheza.
kwa mfano, Mwanza hakuna kabisa uwanja wa golf
Kwa dar hapa sijui hata vilipo