Kwahiyo na nchi yetu kubarikia na raslimali zote hizo lkn bado maskini hao wasomi wa UDSM wamesaidia nini mkuu...Au uwezo wa kuandika madesa na kunakiri thesis za watu wengine ndo uelewaNdio watu wenye uelewa sana na hata alama za wanaopangiwa pale si kama za vyuo vingine vile vya kata... asilimia 90 ya viongozi wote wa umma wamemalza pale
Wewe jamaa ni noma kwahiyo ile Pichidi walimpa waoKwa sababu ndio waliomfundisha JPM mpaka akaelewa na kuwa raisi.Kwahiyo ana historia nzuri na UDSM.Sasa wewe nenda sijui ROIKO uone kama utaitwa ha ha ha
kwani mwenye Phd akituliwa kuwa DG au MD sehemu ndio inakuwa mwisho kufundisha au kufanya kazi za kitaaluma?Kila anayetumbuliwa, mbadala wake utatoka chuo kikuu Dar Es Salaam, kuna nini jamani?
wanaofanya vetting awamu hii wameona kitu gani chuoni hapo?
Kuna hasara ya idara kupata misukosuko maana wengi ya wateule ni watu very seniors kwa maana ya levels za taaluma, mwenye PhD akitolewa kuna kazi kuumba mwingine, siku zote tumekuwa na idadi ndogo za wafanyakazi wa umma na vyuo vikuu navyo vinaumia kama idara nyingine za umma. kwa awamu hii nadhani Zaidi ya watu 10 wameshateuliwa kwa nafasi mbalimbali! sijui itakuwaje hadi majipu yote yakiisha, tutaanza kuumba tena wakufunzi wabobezi wapya!
mamlaka za uteuzi naomba zizingatia majukumu ya hawa watu na uhitaji wa chuo, sio kuwanyang'anya tu UDSM, chuo kita-suffer!
Vyuo vya kata huvijui kwani?Hujielewi!
UDSM kilianza baada ya uhuru na hadi 70s faculties zote zilikuwa zimeshatimia.
kwa wazee wanaokuwa serikalini, sasa kama watakuwa wamesoma chuo kikuu nchini unadhani watakuwa wametoka Tumaini?
Lakini hoja sio ufaulu wa walimu au wanafunzi bali teuzi za uongozi wa kisiasa ambapo so far hakuna evidence kuwa wako vema kuliko yeyote aliyeondoka!
rejea: elimu, TBC, Viwanda, etc hatuoni jipya lolote kwa karibu miezi 16 sasa!
Na hili suala la vyuo vya kata unalitoa wapi?
Ni kweli kabisa na walipoifikisha nchi kila mmoja anapajua,"Maisha bora" kwa kila MTanzania hakika tunayaona.Ndio watu wenye uelewa sana na hata alama za wanaopangiwa pale si kama za vyuo vingine vile vya kata... asilimia 90 ya viongozi wote wa umma wamemalza pale
Chief dangote ana degree amesomea Misri hapo.Hizi ni hoja za kitoto sana!Tunapozungumzia mafanikio ya kampuni huwezi kuzungumzia PhD. Chukulia watu kama Bakhresa,Bill gate ambaye hakumaliza hats chuo kikuu,akina Dangote nk.Wewe unaongelea PhD INA msaada gani kwenye uchumi hats kama MTU ana GPA ya 5?
Kwa sababu UDSM ndiyo Alma Mater ya mkuu wa kaya - which means hana independent advice.Kila anayetumbuliwa, mbadala wake utatoka chuo kikuu Dar Es Salaam, kuna nini jamani?
wanaofanya vetting awamu hii wameona kitu gani chuoni hapo?
Kuna hasara ya idara kupata misukosuko maana wengi ya wateule ni watu very seniors kwa maana ya levels za taaluma, mwenye PhD akitolewa kuna kazi kuumba mwingine, siku zote tumekuwa na idadi ndogo za wafanyakazi wa umma na vyuo vikuu navyo vinaumia kama idara nyingine za umma. kwa awamu hii nadhani Zaidi ya watu 10 wameshateuliwa kwa nafasi mbalimbali! sijui itakuwaje hadi majipu yote yakiisha, tutaanza kuumba tena wakufunzi wabobezi wapya!
mamlaka za uteuzi naomba zizingatia majukumu ya hawa watu na uhitaji wa chuo, sio kuwanyang'anya tu UDSM, chuo kita-suffer!
Na ndio viongozi wengi wa taifa hili waliposomea alafu nchi bado tia maji tia maji...... Think wise afu soma ulichokiandikaUDSM NDIO CHUO KIKUU NA KINA VICHWA BALAA..HUWEZI KUKIFANANISHA NA CHOCHOTE HAPA TZ HATA EAST AFRICA
Hahaaas uinjinia mkuuWewe jamaa ni noma kwahiyo ile Pichidi walimpa wao
Ulitaka zitoke wapi? Wewe ni Nyumbu au li Chadema nini?