Kwanini Reginald Mengi utumia muda mrefu?

Kwanini Reginald Mengi utumia muda mrefu?

mende 2014

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2014
Posts
763
Reaction score
131
Mengi utumia muda mrefu kuongea ITV kuliko viongozi wengine wa nchi akiwemo rais. Je, ni kwanini?
 
Na wewe fungua yako ata ukijiweka siku nzima ni poa tu utajuana na wadhamini wako.

Yule ndio mwenye kituo lazima apewe heshima hiyo ya kipekee kuleta utofauti .usilalamike fungua yako
 
Na wewe fungua yako ata ukijiweka siku nzima ni poa tu utajuana na wadhamini wako.

Yule ndio mwenye kituo lazima apewe heshima hiyo ya kipekee kuleta utofauti .usilalamike fungua yako

mende 2014 njoo hapa usome majibu ya swali lako hapa.
 
Last edited by a moderator:
Kwahiyo? Kama hutaki kumwangalia si ubadili channel
 
Ulitakeje mitanzania bwana sijui kailoga nani
 
Obvious question obvious answers,sioni tija ya kufungua Uzi Kwa swala lililoko wazi namna hii
 
Akili fupi sana hii, Mbona mmiliki wa Star TV hutakaa umuone hata siku moja kwenye TV yake. Kama na mmiliki wa CNN angekuwa anajiweka kwenye TV yake sijui ingekuwaje. Wale waandishi wa ITV ni makanjanja wanadhani wakimuweka bosi wao muda mrefu ndio atawapenda zaidi.shame on them!!!
Na wewe fungua yako ata ukijiweka siku nzima ni poa tu utajuana na wadhamini wako.

Yule ndio mwenye kituo lazima apewe heshima hiyo ya kipekee kuleta utofauti .usilalamike fungua yako
 
Wivu wa kike punguzeni jaman au wewe unataka kuchukua ile nafasi ya Jackline Ntananyabaliwe(K-Lyn)?
 
Kuna kitu cha kujadili hapa jibu swali sio unajifanya eti hakuna swala la kujadili hapa. eti bakhresa na yeye awe anajiweka kwenye kioo cha Azam TV muda mrefu kama Mengi? hiyo haitawezekana kamwe.
Obvious question obvious answers,sioni tija ya kufungua Uzi Kwa swala lililoko wazi namna hii
 
TV yake lakini bado twalalama kujiweka yeye; mbona TBC hatusemi.
 
Akili fupi sana hii, Mbona mmiliki wa Star TV hutakaa umuone hata siku moja kwenye TV yake. Kama na mmiliki wa CNN angekuwa anajiweka kwenye TV yake sijui ingekuwaje. Wale waandishi wa ITV ni makanjanja wanadhani wakimuweka bosi wao muda mrefu ndio atawapenda zaidi.shame on them!!!

Naona roho inakuuma sana soon tunaanzisha diary ya reginal mengi labda kipindi hcho utakipenda,
 
Kuna kitu cha kujadili hapa jibu swali sio unajifanya eti hakuna swala la kujadili hapa. eti bakhresa na yeye awe anajiweka kwenye kioo cha Azam TV muda mrefu kama Mengi? hiyo haitawezekana kamwe.

Ndo lishawezekana kwa Mengi, huyo azam wako kutwa anaonesha bidhaa zake huko nako sio kujionesha
 
Hata kama wengi wenu mnajitoa ufahamu lakini kuna hoja ya msingi.
Maana huo utaratibu nimeuona kwenye IPP MEDIA muda wote nami huwa najiuliza hilo swali.

Jaribuni kufatilia vituo vyote sio rahisi kumkuta mmiliki kila siku anauza sura kwenye media kisa ndo mmiliki.
Na kama mnakumbuka ishawahi kuletwa kesi kule mjengoni na mbunge malima juu ya kile bwana mengi anachokifanya itv.

Anauza sura kwenye media zake muda mwingi kuliko hata mambo muhimu ya kitaifa. Kuliko hata viongozi wa kitaifa. Kuliko hata mkuu wa nchi.
Ni tz peke ake ndo kuna huo ujinga, na ni itv pekee wanaendekeza huo ujinga.

Me nadhani hapo kuna ubinafsi na kutaka kujikwenza mbele ya jamii ili imuone kama mtu special ndani ya nchi hii.
Anatafuta heshima kwa nguvu.
Au ndo mambo ya fursa?
 
Back
Top Bottom