Kwanini rais wetu hatembelewi?

Kwanini rais wetu hatembelewi?

Nimekuwa najiuliza kwa muda sasa kwa nini raisi wetu hatembelewi na marais wenzake? Kipindi cha Mkapa tulikuwa tunashuhudia dhifa za taifa nyingi namaanisha sherehe za marais (mgeni § mwenyeji).

Najiuliza rais wetu hana joint programs/projects between countries?

Hii inatia shaka mustakabali wa taifa kwamba tuna kiongozi ambaye hana objectives katika uongozi wake. Labda Mkapa alikuwa na projects/ideas za kuendeleza nchi za Africa na ndio maana maraisi wa Malawi, Botswana, Msumbiji, nk walikuwa wanakuja kuanzisha joint projects kama Mtwara corridor ili kuendeleza wanachi wa nchi husika.

Mimi naamini katika ushirikiano wa waafrika katika kujiendeleza kuliko kuwategemea developed countries ambao hatuna common interests and similar problems.

Nipo tayari kukosolewa

Juzi kaja Museveni, kabla ya hapo alikuwepo Rais wa Comoro, kabla yake alikuja waziri mkuu wa India, akaja Rais Hu Jintao. Alikuja Bush, akaja Kabila na hata Mugabe alilala ikulu. Ulitaka aje nani ndo uone anatembelewa? Fanya utafiti kwanza kabla!
 
Sijasema kuja tu ninachozungumzia ni kuja kusign mipango ya maendeleo kama ule wa Mtwara corridor ambao ulisainiwa lakini mpaka sasa miaka saba imepita hakuna kinachofanyika kwasababu rais wa Malawi hajaja tena wala rais wetu hajaenda kupush huu mpango huu ni mfano mmoja wapo tu.
Kama ungesoma threads za nyuma baadhi ya uliyouliza yameshajibiwa. Sijaona wala kusikia mpango wa pamoja na nchi yoyote jirani na sisi wakati tunajua kuna fursa nyingi tu ambazo sisi watanzania tunaweza kunufaika nazo, kama reli mpaka Malawi, reli Burundi/rwanda, kuuzamazao kwenye nchi zenye njaa kama Kenya,congo lakini tunaacha mazao yaozeane kila mwaka. Je tutakuwa na maendeleo endelevu kwa mtindo huu?
Hao uliowataja unaweza kutuambia wameanzisha mpango gani na nchi yetu utakaonufaisha wananchi wa nchi husika?
 
Rais wetu kila siku kiguu na njia atatembelewa saa ngapi? Ratiba yake mwaka mzima imejaa misele ya nje ya nchi na akiwepo anakutana na masista na mashehe!
 
Mzururaji anatembelewa?
You are right. Kwani mmesahau kwamba kuna mtoto alizaliwa pale Msoga 1950 alikuwa hana kichwa wakachukua nazi ikasomewa kisomo akaanza kusema ndie Juha Kalulu kiguu na njia nani amtembelee' Mtu watu wanakufa yeye anatabasamu tu. It's the wonder than table mountains in RSA
 
Hivi zaidi ya Museven na Rais wa Comoro Rais Gani Mwingine ameishamtembelea Jakaya?
 
Rais wa ujerumani...
Lol

Lengo la kuanzisha thread hii ni kutaka kufahamu kwanini viongpzi wa nchi ambazo tuna lingananazo kiuchumi ambazo tunaweza kufanyanazo miradi ya pamoja ili kunufaisha wananchi wa nchi husika hawaji kama zamani kwa ajili ya kujadili hiyo miradi au rais wetu sio mbunifu wa kupanga miradi ya pamoja?
 
Nadhani ujumbe huu ufanyiwe kazi na watawala wetu kwa maendeleo yetu.
 
watu wanaotumwa utwajua tu unatka atemebewe na nani labda maana mpaka rais wa marekeni kishakuja na kukaa nusu wiki hapa hii uliwahi kuiona wapi pengine africa?
 
miundombinu ya kupata wageni ni mibovu sana..
1.umeme siyo wa uhakika so ni too risky airport,
2.wananchi hawana amani na hata utulivu wao ni wa msimu so wanaweza kuandamana @ any time.
3.wafanyakazi wa umma hawaeleweki,mgomo ni any time so itakua aibu
4.foleni za barabarani ni tatizo,so misafara itapata ugumu kdogo kuingia na kutoka magogoni
5.mipango yetu ya maendeleo haina urafiki na waafrika wenzetu ila wamarekani na wachina tu....
Ongezeni za kwenu!!!!
 
Tafadhali sana mkuu jaribu kuheshimu maoni ya wengine. Unasema nimetumwa na nani? Kwa malengo yapi? Usichukulie kwamba kila theory inaapply popote pale! Nipo hapa kujenga na wala si kubomoa. Jaribu kufuatia maoni yangu utaona nalenga na namaanisha nini!
 
miundombinu ya kupata wageni ni mibovu sana..
1.umeme siyo wa uhakika so ni too risky airport,
2.wananchi hawana amani na hata utulivu wao ni wa msimu so wanaweza kuandamana @ any time.
3.wafanyakazi wa umma hawaeleweki,mgomo ni any time so itakua aibu
4.foleni za barabarani ni tatizo,so misafara itapata ugumu kdogo kuingia na kutoka magogoni
5.mipango yetu ya maendeleo haina urafiki na waafrika wenzetu ila wamarekani na wachina tu....
Ongezeni za kwenu!!!!

Namba 5 ndio inayopelekea tunarudi nyuma kwasababu tuna common interests na waafrica wenzetu na kufanyanao miradi hawa itasaidia kupunguza kunyonywa.
 
Juzi
kaja Museveni, kabla ya hapo alikuwepo Rais wa Comoro, kabla yake
alikuja waziri mkuu wa India, akaja Rais Hu Jintao. Alikuja Bush, akaja
Kabila na hata Mugabe alilala ikulu. Ulitaka aje nani ndo uone
anatembelewa? Fanya utafiti kwanza kabla!
wageni 7 ndani ya miaka 7 sio mbaya ila walikuja kufanya nini? kutoa misaada,kuomba misaada, kutalii kama anvyofanya wakwetu au kutuibia rasilimali zetu, kipindi cha muuaji kulikuwa na joint project nyingi na nchi jirani vp miaka hii kunanini?
 
Nimekuwa najiuliza kwa muda sasa kwa nini raisi wetu hatembelewi na marais wenzake? Kipindi cha Mkapa tulikuwa tunashuhudia dhifa za taifa nyingi namaanisha sherehe za marais (mgeni § mwenyeji).

Najiuliza rais wetu hana joint programs/projects between countries?

Hii inatia shaka mustakabali wa taifa kwamba tuna kiongozi ambaye hana objectives katika uongozi wake. Labda Mkapa alikuwa na projects/ideas za kuendeleza nchi za Africa na ndio maana maraisi wa Malawi, Botswana, Msumbiji, nk walikuwa wanakuja kuanzisha joint projects kama Mtwara corridor ili kuendeleza wanachi wa nchi husika.

Mimi naamini katika ushirikiano wa waafrika katika kujiendeleza kuliko kuwategemea developed countries ambao hatuna common interests and similar problems.

Nipo tayari kukosolewa

No research evidences no right to speak!!Hebu tuwe realistic ndugu mtoa mada,ningependa kuona data zinazoonyesha Mkapa kipindi chake cha Urais alipotimiza miaka 7 ya utawala wake kama JK kwasasa alitembelewa na marais wangapi wa hizo nchi unazozitaja na mara ngapi pia hizo ziara zao zililisaidia vipi taifa letu then ufanye hivyohivyo kwa JK ndiyo tuchangie kwa uhakika zaidi!Vinginevyo nitasema hayo ni majubgu tu hasa kwakuwa JK amevipa uhuru vyombo vya habari basi ndiyo maana mnasema mtakavyo na Mkapa aliviminya mkawa mnalalamikia nyumbani kwenu tu!!
Tupe data tujadili kwa uhakika zaidi!!
 
I support you one hundred percent.
 
I will do it just wait I will give you what you want.
 
Nimekuwa najiuliza kwa muda sasa kwa nini raisi wetu hatembelewi na marais wenzake? Kipindi cha Mkapa tulikuwa tunashuhudia dhifa za taifa nyingi namaanisha sherehe za marais (mgeni § mwenyeji).

Najiuliza rais wetu hana joint programs/projects between countries?

Hii inatia shaka mustakabali wa taifa kwamba tuna kiongozi ambaye hana objectives katika uongozi wake. Labda Mkapa alikuwa na projects/ideas za kuendeleza nchi za Africa na ndio maana maraisi wa Malawi, Botswana, Msumbiji, nk walikuwa wanakuja kuanzisha joint projects kama Mtwara corridor ili kuendeleza wanachi wa nchi husika.

Mimi naamini katika ushirikiano wa waafrika katika kujiendeleza kuliko kuwategemea developed countries ambao hatuna common interests and similar problems.

Nipo tayari kukosolewa
Sure Aisee! Mie nilipokuwa kijana wa praimari miaka ya 1980s, nimewaona Marais wengi tu pale Arusha, wakimtembela Nyerere na Tanzania! Yaani JMK anachanja mbuga kutembelea wenzake tu?
 
Mkuu hili nalo neno sijapata kufikiria kabsa kwanini kweli wenzake hawaji tz?
 
Back
Top Bottom