Injini imegongwagongwa mithili ya makarai ya pale gerezani Kariakoo, halafu ikitokea ajali wanasema kazi ya Mungu haina makosa
Zamani Zanzibar walikuwa na jet plane nzuri sana kwa mara ya mwisho niliiona gazetini miaka ya 90 imenyofolewa mbawa pale Dodoma ikapakiwa kwenye ndege nyingine wakaipeleka nje sijui kama ilirudi!!
uyu mke wa Rais mwinyi amefanana na aliekuwa mke wa mchezaji wa Simba wa zamani, alikuwa anaitwa Method Mogella(kilaka)........au ndio uyu aliolewa na mwinyi baada ya kufa Method
Wangeinunulia injini mpya hii ndege wampe awe anaitumia kama ndege ya Rais wa Z'br. Otherwise wamnunulie ndege ndogo ya Pilatus PC 24; which ever is cheaper.
uyu mke wa Rais mwinyi amefanana na aliekuwa mke wa mchezaji wa Simba wa zamani, alikuwa anaitwa Method Mogella(kilaka)........au ndio uyu aliolewa na mwinyi baada ya kufa Method