Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 31,659
- 32,964
Ila urais una raha yake
Injini imegongwagongwa mithili ya makarai ya pale gerezani Kariakoo, halafu ikitokea ajali wanasema kazi ya Mungu haina makosa
Zamani Zanzibar walikuwa na jet plane nzuri sana kwa mara ya mwisho niliiona gazetini miaka ya 90 imenyofolewa mbawa pale Dodoma ikapakiwa kwenye ndege nyingine wakaipeleka nje sijui kama ilirudi!!