Kwa MTU mwenye akili lazima ajiulize kulikoni!?? Lakin zuzu haliwez elewa!?? Uganda ninayoijua Mimi maeneo ya kaskazin na mashariki yalivyo duni eti Leo shule ijengwe Tz!??? Mmhhhhh !!!Kuongoza binadamu ni kazi sana, ukitenda mema watahoji ukitenda mabaya watahoji.
Kama hamuitaki ivunjeni, tofali mpeleke ugandaKwa MTU mwenye akili lazima ajiulize kulikoni!?? Lakin zuzu haliwez elewa!?? Uganda ninayoijua Mimi maeneo ya kaskazin na mashariki yalivyo duni eti Leo shule ijengwe Tz!??? Mmhhhhh !!!
Rafiki yake hayupo. Kikibuma huko kwake akaja kujaribu kujificha, sisi tutamrudisha na kumkabidhi kwa ADF. Kwa kuwa hao ADF ndo wanamtoa udenda huko balaa.Anatafuta pa kujificha siku kikibuma
Hahaa... Dictator hiloo.Hivi Maraisi wa Africa wana shauriwa kweli? Museveni Raisi wa uganda kafungua shule zuri ya kisasa Mkoani Geita wilaya ya Chato elio jengwa kwa gharama za serikali ya uganda kwa pesa ya walipa kodi ya waganda, wakati Tz aliko jenga hiyo shule ina afuenu katika miundombinu ya shule kuliko Uganda.
Nini lengo la Museveni kunyima waganda shule nzuri na kuja kuijenga Tz?
Museveni analenga nini kupata kutoka Tz?
Hizi ndo hari ya baathi ya shule za sarikali kule nchini uganda
Si nilisikia kwamba serikali ya Uganda inailipa Tanzania makosa ya kivita yaliyofanywa na Idd Amin, labda hiyo ndio sehemu ya malipo...Hivi Maraisi wa Africa wana shauriwa kweli? Museveni Raisi wa uganda kafungua shule zuri ya kisasa Mkoani Geita wilaya ya Chato elio jengwa kwa gharama za serikali ya uganda kwa pesa ya walipa kodi ya waganda, wakati Tz aliko jenga hiyo shule ina afuenu katika miundombinu ya shule kuliko Uganda.
Nini lengo la Museveni kunyima waganda shule nzuri na kuja kuijenga Tz?
Museveni analenga nini kupata kutoka Tz?
Hizi ndo hari ya baathi ya shule za sarikali kule nchini uganda
Mkuu museveni siyo mara ya kwanza kufanya hivi Tz, ashajenga shule nyingine kagera sehemu inaitwa muhutwe, na akatoa ela na kuwajengea nyuma wale waliompa hifadhi kipindi anaishi pale.Hivi Maraisi wa Africa wana shauriwa kweli? Museveni Raisi wa uganda kafungua shule zuri ya kisasa Mkoani Geita wilaya ya Chato elio jengwa kwa gharama za serikali ya uganda kwa pesa ya walipa kodi ya waganda, wakati Tz aliko jenga hiyo shule ina afuenu katika miundombinu ya shule kuliko Uganda.
Nini lengo la Museveni kunyima waganda shule nzuri na kuja kuijenga Tz?
Museveni analenga nini kupata kutoka Tz?
Hizi ndo hari ya baathi ya shule za sarikali kule nchini uganda
Kwa hilo unetowa sabb alitoa shurani kwa walio mhifadhi sasa kwa Chato vipi?Mkuu museveni siyo mara ya kwanza kufanya hivi Tz, ashajenga shule nyingine kagera sehemu inaitwa muhutwe, na akatoa ela na kuwajengea nyuma wale waliompa hifadhi kipindi anaishi pale.
Labda ni donor country, hata USA na misaada yote inayotupatia bado wana watu ambao ni homelessShirthole countries Hawa ndowale unakuta wanalala kwenye nyasi alafu anaenda kujengea wakwe na msauzi anapaua just imagine kwako kuko hovyo alafu unaenda kujenga kwa jiran tena unajenga vizur kuliko kwako ni utahira
Unajua gharama ya vita ya kagera? Unajua uchumi wa Tanzania paka leo haujarudi pale ulivo kua kabla ya vita, unajua watanzania walio kufa kwenye hiyo vita sio chini ya 50k civilians na wana jeshi. Kwahiyo shule moja ifidie hiyo vita acha kejeli kama hujui kitu pita ili upate nafasi ya kujifunza.Si nilisikia kwamba serikali ya Uganda inailipa Tanzania makosa ya kivita yaliyofanywa na Idd Amin, labda hiyo ndio sehemu ya malipo...
Tulia weweeeeee mnalipwa taratibu Kama unateseka si ukapigane nao Tena eboooo!!!Unajua gharama ya vita ya kagera? Unajua uchumi wa Tanzania paka leo haujarudi pale ulivo kua kabla ya vita, unajua watanzania walio kufa kwenye hiyo vita sio chini ya 50k civilians na wana jeshi. Kwahiyo shule moja ifidie hiyo vita acha kejeli kama hujui kitu pita ili upate nafasi ya kujifunza.
Donor country huku mchina Anajipigia tuLabda ni donor country, hata USA na misaada yote inayotupatia bado wana watu ambao ni homeless
Mmh paka leo Cuba na urusi wanadai Tz kwajiri ya madeni ya vita ya Kagera, katika makosa makubwa mwl Nyerere alio fanya ni kuingiza Tz kwenye hiyo vita wakati kulikua na njia nyingi za kumaliza huo mzozo na Idi Amini, ila kwasbb alitaka kumsaidia pan Africanist rafiki yake Obote akaiingiza nchi katika matatizo makibwa,.....uchumi wa Uganda hauna uwezo wa kufidia Tz na pia hawakusain mkataba wa msada kwa malipo ya badaye.Tulia weweeeeee mnalipwa taratibu Kama unateseka si ukapigane nao Tena eboooo!!!
Yah katupa donation hata kwenye tetemeko la kagera alikuwa wa kwanza kupeleka msaada 🤣🤣Donor country huku mchina Anajipigia tu