Kwanini Rais Museveni ameamua kujengea watanzania shule ya kisasa wakati kwake hali mbaya kuliko Tz?

Kuongoza binadamu ni kazi sana, ukitenda mema watahoji ukitenda mabaya watahoji.
Kwa MTU mwenye akili lazima ajiulize kulikoni!?? Lakin zuzu haliwez elewa!?? Uganda ninayoijua Mimi maeneo ya kaskazin na mashariki yalivyo duni eti Leo shule ijengwe Tz!??? Mmhhhhh !!!
 
Kama hamuitaki ivunjeni, tofali mpeleke uganda
 
Nadhani ni katika kulipa fadhila kwa yale tuliyomfanyia mwaka 1978-1979,kiufupi binadamu tuwe tunakumbuka wema tuliotendewa na watu
 
tupeleke na tuhamasishane hoja ya kilimo cha bangi ....ya M7 hayatusaidii chochote WATANZANIA......wacheni ajenge tuuu....vita ya KAGERA walituharibia vingi.....
 
Hivi Maraisi wa Africa wana shauriwa kweli? Museveni Raisi wa uganda kafungua shule zuri ya kisasa Mkoani Geita wilaya ya Chato elio jengwa kwa gharama za serikali ya uganda kwa pesa ya walipa kodi ya waganda, wakati Tz aliko jenga hiyo shule ina afuenu katika miundombinu ya shule kuliko Uganda.

Nini lengo la Museveni kunyima waganda shule nzuri na kuja kuijenga Tz?
Museveni analenga nini kupata kutoka Tz?

Hizi ndo hari ya baathi ya shule za sarikali kule nchini uganda

Hahaa... Dictator hiloo.

Litakimbilia Bongo.
 
Si nilisikia kwamba serikali ya Uganda inailipa Tanzania makosa ya kivita yaliyofanywa na Idd Amin, labda hiyo ndio sehemu ya malipo...
 
Mkuu museveni siyo mara ya kwanza kufanya hivi Tz, ashajenga shule nyingine kagera sehemu inaitwa muhutwe, na akatoa ela na kuwajengea nyuma wale waliompa hifadhi kipindi anaishi pale.
 
Kwa hilo unetowa sabb alitoa shurani kwa walio mhifadhi sasa kwa Chato vipi?
 
Shirthole countries Hawa ndowale unakuta wanalala kwenye nyasi alafu anaenda kujengea wakwe na msauzi anapaua just imagine kwako kuko hovyo alafu unaenda kujenga kwa jiran tena unajenga vizur kuliko kwako ni utahira
 
Labda ni donor country, hata USA na misaada yote inayotupatia bado wana watu ambao ni homeless
 
Si nilisikia kwamba serikali ya Uganda inailipa Tanzania makosa ya kivita yaliyofanywa na Idd Amin, labda hiyo ndio sehemu ya malipo...
Unajua gharama ya vita ya kagera? Unajua uchumi wa Tanzania paka leo haujarudi pale ulivo kua kabla ya vita, unajua watanzania walio kufa kwenye hiyo vita sio chini ya 50k civilians na wana jeshi. Kwahiyo shule moja ifidie hiyo vita acha kejeli kama hujui kitu pita ili upate nafasi ya kujifunza.
 
Tulia weweeeeee mnalipwa taratibu Kama unateseka si ukapigane nao Tena eboooo!!!
 
Mmh paka leo Cuba na urusi wanadai Tz kwajiri ya madeni ya vita ya Kagera, katika makosa makubwa mwl Nyerere alio fanya ni kuingiza Tz kwenye hiyo vita wakati kulikua na njia nyingi za kumaliza huo mzozo na Idi Amini, ila kwasbb alitaka kumsaidia pan Africanist rafiki yake Obote akaiingiza nchi katika matatizo makibwa,.....uchumi wa Uganda hauna uwezo wa kufidia Tz na pia hawakusain mkataba wa msada kwa malipo ya badaye.
 
Back
Top Bottom