Kwanini Rais Museveni ameamua kujengea watanzania shule ya kisasa wakati kwake hali mbaya kuliko Tz?

Hivi Maraisi wa Africa wana shauriwa kweli? Museveni Raisi wa uganda kafungua shule zuri ya kisasa Mkoani Geita wilaya ya Chato elio jengwa kwa gharama za serikali ya uganda kwa pesa ya walipa kodi ya waganda, wakati Tz aliko jenga hiyo shule ina afuenu katika miundombinu ya shule kuliko Uganda.

Nini lengo la Museveni kunyima waganda shule nzuri na kuja kuijenga Tz?
Museveni analenga nini kupata kutoka Tz?

Hizi ndo hari ya baathi ya shule za sarikali kule nchini uganda

Kwani asingelijenga alipojenga na kwake asijenge ama akafanya mambo yake mengine, wewe ungelijuaje?

Hivi kutoa msaada hadi uwe umejitosheleza kwako na kujieneza kabisa?

Hata nchi zilizoendelea, wanapomwaga misaada kwetu, huwa kwao hawana jambo ambalo hawajalitekeleza linalohitaji pesa?

Ninachowashangaa hasa hulka ya waTz kwa sasa sijui ni nini kimetupata!

Inamaana unapoenda kwa mfano kununua shati, halafu akatokea mtu mwingine kuanza kuthamanisha hiyo hela uliyoitumia kununulia shati kwa mifuko ya sementi na kukwambia: "wee mjinga unanunuaje shati badala ya mifuko ya sementi", hivi utamuelewaje huyo mtu kuingilia mipango yako na utashi wako?

Zikijengwa barabara, mnasema zingelijengwa shule, zikinunuliwa ndege, mnasema ingelijengwa hospitali, yaani hakuna jema kwenu!

Ujue kila kitu kina manufaa yake kwa wakati wake.

Na ni bora kuwa na kitu chochote kinachoonekana kuliko pesa zilizotengeneza hicho kuishia mifukoni na kuliwa na mafisadi, ambapo wewe kama raia hauna udole wa kulazimisha jambo lolote serikalini ilifanye na likatekelezwa kama unavyotaka.

Sisi kila tunachokiona kinafanywa na serikali chenye muelekeo wa maendeleo huwa tunasema: "ahsante" kwa kushukuru.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio shule ya kwanza kujenga!ipo nyingine inaitwa museveni ipo huko kagera
 
Sio kweli ! Nimeamua kugawana na jirani yangu kibaba cha unga nilicho nacho, nusu kwa nusu wanawe pia wasilale na njaa.
Kama hujawahi pita Uganda 🇺🇬, huwezi kuelewa, Tz tumewaacha kidogo kwenye miundombinu ya elimu
 
Mfano wako ni mbingu na ardhi
Umesema huwez toa misaada wakati bado kwako una watu wemye uhitaji nimekuoa mfano sasa umbingu na ardhi uko wapi?
USA kwank si kweli inatoa misaada na bado ina watu wenye uhitaji?
 
Una ushahidi wowote kwamba tulivamiwa au, Tz ndo elikua inafanya madalizi ya kuvamia Uganda kwa kuhifadhi wa haasi wa Iddi Amini wakina Obote na Museven, na kumshawishi Nyerere awasaidie kumuondawa Amini, husifuata propaganda kasome vitabu, utagundua makosa yetu yalikua wapi.
Daima Niko upande wa nchi yangu wewe mamluki itetee Uganda..
 
Hivi Maraisi wa Africa wana shauriwa kweli?
Lakini kwa nini msitafute mtu mwenye uwezo, upeo na weledi badala ya kuchukua Buricheka na Bi Kidawa yeyote asiye na distinction yeyote mnamfanya Rais mkitegemea ataongoza kwa kushauriwa ???????

Samia amechefua kuliko Museveni. Samia kasema anamshukuru Museveni kwa kuona kwamba Tanzania ina uhitaji wa shule kuliko Uganda.

Yani anadanganya kujifanya masikini kuliko yeyote duniani ili aendelee kupata vya bure. On dependency syndrome, Samia is worse than Kikwete.
 
Usa ina raia million 37 ni maskini wa kutupwa lakini wanatoa misaada ya kibinadamu duniani kote.
Kinachoifelisha Uganda ni ufisadi na rushwa kupindukia.
Ubinafsi wa viongozi wa Ug ndo kikwazo namba moja.
Hii ni zawadi ya mu7 kwa JPM so akaona ajengee nyumbani Chato.
 
Hivi Maraisi wa Africa wana shauriwa kweli? Museveni Raisi wa uganda kafungua shule zuri ya kisasa Mkoani Geita wilaya ya Chato elio jengwa kwa gharama za serikali ya uganda kwa pesa ya walipa kodi ya waganda, wakati Tz aliko jenga hiyo shule ina afuenu katika miundombinu ya shule kuliko Uganda.

Nini lengo la Museveni kunyima waganda shule nzuri na kuja kuijenga Tz?
Museveni analenga nini kupata kutoka Tz?

Hizi ndo hari ya baathi ya shule za sarikali kule nchini uganda

Alichofanya Museveni ambaye ni mlevi ndicho wanachofanya walevi wanaozungusha meza baa huku majumbani mwao watoto wanalia njaa.
 
Lakini kwa nini tusitafute watu wenye uwezo, upeo na weledi balada ya kuchukua Buricheka na Bi Kidawa yeyote asiye na distinction yeyote mnamfanya Rais mkitegemea ataongoza kwa kushauriwa ???????

Samia amechefua kuliko Museveni. Samia kasema anamshukuru Museveni kwa kuona kwamba Tanzania ina uhitaji wa shule kuliko Uganda.

Yani anadanganya kujifanya masikini kuliko yeyote duniani ili aendelee kupata vya bure. On dependency syndrome Samia is worse than Kikwete.
Husiwe mkali kwa Mama she is a woman president kwamba kutokana na upole wake ndo maana akachaguliwa kua makamu wa Raisi, hamna Raisi anaependa makamu wake amzidi mtu wakulaumu ni mfumo wa chama Tawala sio Raisi wa sasa she is just a victim of circumstance.
 
Usa ina raia million 37 ni maskini wa kutupwa lakini wanatoa misaada ya kibinadamu duniani kote.
Kinachoifelisha Uganda ni ufisadi na rushwa kupindukia.
Ubinafsi wa viongozi wa Ug ndo kikwazo namba moja.
Hii ni zawadi ya mu7 kwa JPM so akaona ajengee nyumbani Chato.
Viongo vya umasikini vina pishana sana, huwezi kuliganisha masikini wa US na masikini wa TZ au Uganda, hapa Tz au Uganda we are living in absolute poverty below international poverty line, in otherword we ur living illegally, kwamaana hiyo tunaishi kwa kudra za mwenyezi Mungu,.......na masikini wa US ni yule ambaye hana savings ila anauwezo wa kupata milo mitatu kwa siku........
 
Hili ni karibia viongozi wengi wa Africa hasa kusini mwa janga la sahara,,
Ni ujinga na upumbavu wamekaa madarakani muda mrefu mpaka yamewalevya mnooo!!!
 
Museveni ni Mtanzania Mwenzetu kwao ni Kagera wilaya ya Karangwe ambapo sehemu kubwa ya ukoo wao upo hapo na amepajenga vizuri sana sambamba na shule
Kwahiyo museveni akija kigombea nafasi ya uraisi hapa Tz utampa kura yako, au unaonge kwa hemko tu. Labda kama unataka kumanisha kwamba Tz ni ya wa tutis, Museveni ni mnyarwanda waganda walisha mkana kitambo, inakua je awe mtazani tena? Au kwasbb Tz inahifadhi wakimbizi wengi kutoka Rwanda Burundi na Congo
 
Back
Top Bottom