Kwanini Rais Magufuli hakutuma salaam za Krismasi kwa watanzania?

shige2

JF-Expert Member
Oct 11, 2016
8,106
3,967
Kama ilivyo kawaida ya viongozi wa nchi kote duniani. Viongozi hao Hutuma salamu za Krismasi kwa wananchi wao wenye imani ya Kikristo.

Nini kilichomfanya rais kutoona UMUHIMU kuwatakia watanzania Krismasi njema?

======
Hatimaye taarifa imesambazwa kwa media saa 10 jioni.

Kila kiongozi aliye chaguliwa kwa kura ktk nchi zinazo tambua ukristo huwa zinatuma salamu za kuwatakia xmass njema wananchi wake
Lkn Rais Magufuli yy na washauri wake wala hawajui hili
 
Yawezekana kwake watanzania ni Kibonde, kipanya & co!! Mlosalia ni wazimbabwe , mnaishi tz kinyume na sheria
 
Kama ilivyo kawaida ya viongozi wa nchi kote duniani. Viongozi hao Hutuma salamu za Krismasi kwa wananchi wao wenye imani ya Kikristo.

Nini kilichomfanya rais kutoona UMUHIMU kuwatakia watanzania Krismasi njema?
Alituma ITV akasema anawatakia merry Christmas na heri ya mwaka mpya kwa wafanyakazi na watazamaji wote wa itv.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…