Kwanini Rais Magufuli hakuhudhuria kuapishwa kwa Rais Kagame kule Rwanda?

Anaangalia maslahi ya nchi sio kwa kelele za wapiga kelele...
.....Tatizo lenu mnasahau haraka sana, Kafulila si tu kwamba mlimwambia ni mpiga kelele, mara kelele zake hazimnyimi usingizi mwenye nyumba, mlienda mbali na kumuita Tumbili. Nawasubiri mumuite majina mengine....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari za asubuhi familia ya JF. Jana Rais Kagame kaapishwa kutumikia mhula wa miaka 7 baada ya kushinda uchaguzi wa 04/08/2017. Marais wa kenya na Uganda waliihudhria isipokuwa Burgundi ambapo wamekuwa na mzozo na Rwanda. Rais wetu kipenzi Dr Magufuli hakuuhudhuria na badala yake aliwakilishwa na Rais mstaafu Ben Mkapa. Itifaki nijuavyo angeenda Makamu wa Rais, Waziri mkuu na hata waziri wa nje. Kwanini hili halikufanyika? Nitoeni matongotongo mi mjinga wa Itifaki. Mbna Dr Magufuli ni swahiba chanda na Pete wa Kagame, kwanini hakwenda mwenyewe kuapishwa kwa mshikaji wake?
Makamu wa rais yuko South Afrika kwenye mkutano wa SADC wakati huo waziri mkuu yuko Cuba kwa Fidel Castro. Haiwezekani waondoke wote
 
Habari za asubuhi familia ya JF. Jana Rais Kagame kaapishwa kutumikia mhula wa miaka 7 baada ya kushinda uchaguzi wa 04/08/2017. Marais wa kenya na Uganda waliihudhria isipokuwa Burgundi ambapo wamekuwa na mzozo na Rwanda. Rais wetu kipenzi Dr Magufuli hakuuhudhuria na badala yake aliwakilishwa na Rais mstaafu Ben Mkapa. Itifaki nijuavyo angeenda Makamu wa Rais, Waziri mkuu na hata waziri wa nje. Kwanini hili halikufanyika? Nitoeni matongotongo mi mjinga wa Itifaki. Mbna Dr Magufuli ni swahiba chanda na Pete wa Kagame, kwanini hakwenda mwenyewe kuapishwa kwa mshikaji wake?
Kama alimtuma Mkapa kumwakilisha wakati yeye ana majukumu mengine na wakati huohuo makamu wa Rais Mama Samia yuko South Africa kumwakilisha JPM ktk vikao vya SADACC basi protocol was highly observed.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na kwa Uhuru hajaenda. Hii haijakaa vizuri kabisa. Hawa ni majirani zetu.

Hata kama hawaivi na Uhuru ingefaa aende kwa ujirani mwema tu. Kumtuma Samia kila siku kwenye vikao vya maraisi haijakaa vizuri.
 
Kwa sasa hakuna haja kuzui watu wengine kuzui kufanya Investment tatizo ni sheria imara nazinzosimamiwa vizuri, Africa Ni moja mipaka waliweka wakoloni hakuna sababu kujibana rais Kenyata ni safi sana
 
Eti Africa ni moja , nani kakwambia kabla ya wakoloni kulikuwa hakuna mipaka, kasome history vizuri
 
Back
Top Bottom