Kwanini Rais Magufuli hakuhudhuria kuapishwa kwa Rais Kagame kule Rwanda?

Freed Freed

JF-Expert Member
Jun 27, 2017
6,230
6,471
Habari za asubuhi familia ya JF. Jana Rais Kagame kaapishwa kutumikia mhula wa miaka 7 baada ya kushinda uchaguzi wa 04/08/2017. Marais wa kenya na Uganda waliihudhria isipokuwa Burundi ambapo wamekuwa na mzozo na Rwanda. Rais wetu kipenzi Dr Magufuli hakuuhudhuria na badala yake aliwakilishwa na Rais mstaafu Ben Mkapa. Itifaki nijuavyo angeenda Makamu wa Rais, Waziri mkuu na hata waziri wa nje. Kwanini hili halikufanyika? Nitoeni matongotongo mi mjinga wa Itifaki. Mbna Dr Magufuli ni swahiba chanda na Pete wa Kagame, kwanini hakwenda mwenyewe kuapishwa kwa mshikaji wake?
 
Back
Top Bottom