Kwanini Rais Magufuli hakuhudhuria kuapishwa kwa Rais Kagame kule Rwanda?

Kutokuhudhuria matukio muhimu yanayomhusu ni kawaida yake mf. Mazishi ya watoto wa lucky vicent,mazishi ya askari nane,Bukoba tetemeko(alienda kwa kusemwa sana) ukimwambia kuna mradi tunazindua sehemu fulani hata iwe USA ataenda tu
 
Hii ni mara ya tatu sasa PK kuapishwa (kama sikosei) hivyo simu ya pongezi tu imetosha, raisi JPM anapiga kazi.

PK alikuja kwenye sherehe ya kuapishwa raisi JPM kwasababu aliapishwa akiwa raisi mpya wa awamu ya tano.

Mara nyingi inategemea kama mwaliko unakuja ukiwa wazi au umefungwa.

Ukiwa wazi basi anaweza kwenda mwakilishi maalum kwani mama Samia yupo Johannesburg pamoja na mtaalam balozi Mahiga, waziri mkuu Kassim Majaliwa ndiyo kwanza katua mjini Havana kwa mjomba Che Guevara na raisi Shein ana majukumu mengi sasa hivi yupo mkoa wa Kusini Unguja nafanya ziara ya kukagua miradi ya maendeleo.

Na makamu wa raisi Shein balozi Seif Ali Iddi nae yumo Havana Cuba kikazi.

Ila raisi JPM anaonekana ataenda Nairobi.
 
Hii ni mara ya tatu sasa PK kuapishwa (kama sikosei) hivyo simu ya pongezi tu imetosha, raisi JPM anapiga kazi.

PK alikuja kwenye sherehe ya kuapishwa raisi JPM kwasababu aliapishwa akiwa raisi mpya wa awamu ya tano.

Mara nyingi inategemea kama mwaliko unakuja ukiwa wazi au umefungwa.

Ukiwa wazi basi anaweza kwenda mwakilishi maalum kwani mama Samia yupo Johannesburg, waziri mkuu Kassim Majaliwa ndiyo kwanza katua mjini Havana kwa mjomba Che Guevara na raisi Shein ana majukumu mengi.

Na makamu wa raisi Shein nae yumo Havana Cuba kikazi.

Ila raisi JPM anaonekana ataenda Nairobi.
Umejitahidi kumtetea! Si haba, ila Watz si mambumbu kiasi hicho am afraid
mabashite ni wale waliovunja mkataba kiholela na kusababisha Bombadier kutekwa huko Canada.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari za asubuhi familia ya JF. Jana Rais Kagame kaapishwa kutumikia mhula wa miaka 7 baada ya kushinda uchaguzi wa 04/08/2017. Marais wa kenya na Uganda waliihudhria isipokuwa Burgundi ambapo wamekuwa na mzozo na Rwanda. Rais wetu kipenzi Dr Magufuli hakuuhudhuria na badala yake aliwakilishwa na Rais mstaafu Ben Mkapa. Itifaki nijuavyo angeenda Makamu wa Rais, Waziri mkuu na hata waziri wa nje. Kwanini hili halikufanyika? Nitoeni matongotongo mi mjinga wa Itifaki. Mbna Dr Magufuli ni swahiba chanda na Pete wa Kagame, kwanini hakwenda mwenyewe kuapishwa kwa mshikaji wake?
Kwan ni lazma?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kenyatta ataapishwa tu aende asiende Kenyatta ni rais wa kenya hizo chenga nyingine ni kujifurahisha tu
 
Mzee anastrees sana sasa hiv. Ila pia anajianda kutokwenda kwenye kumuapisha uhuru ili msijetumia kma kisingizio.

Sent using Jamii Forums mobile app

Raisi JPM aweza kughairi kwani raisi Kenyatta sasa itabidi asubiri hukumu ya mahakama ya juu "Supreme Court" juu la pingamizi la matokeo ya uchaguzi lililowekwa leo na Raila Odinga.

Inatakiwa ndani ya siku 14 upinzani uweke pingamizi mahakamani kabla ya raisi mteule hajaapishwa rasmi.
 
Anatengeneza sababu asiende kwa Uhuru.....EAC ndio bye bye kutazuka blocks ndogo ndogo za common interest....Tz na uUganda kwa suala fulani.....Tz na Rwanda kw reli tu...etc!! Ubinafsi na roho visasi na roho mbaya zitaua EAC......soon itatokea!!! Sizonje yuko radhi kuvunja EAC au na Kenya sababu ya bomba la UG......limechanganya kabisa hilo bomba
 
Back
Top Bottom