chinchilla coat
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 5,107
- 10,968
Kikwete nae ndani ya uongozi wake mwanzoni alisemwa hivi? najua baade madhaifu yake yalionekana na kusemwa, ila ilikuwa mapema hivi?
ni kweli analikomboa taifa kutoka kwenye umasikini au ndio anatumbukiza kwenye umasikini zaidi? maanake ukiangalia michoro hii inaonyeshwa kama mtu anayefanya mambo bila kuwa na dira wala mahesabu, je ni kweli anafanya vitu bila hesabu au ni propaganda za Gado na Kipanya?