Hilo wowo la Daud akipita kule mombasa kenjaSababu ni hii View attachment 484029
alitumwa na baba jesca kwenda kufanya FujoNaona umeamua kuja na gia ya kuhoji vyeti vyangu...mimi sina nia ya kujibizana na wewe katika hilo. Nipo kwenye mada tu.
Hakuna ambaye anashida ya RC kuwa na ulinzi..hata akiwa nao mchana ni haki yake. Ila wewe jiulize maswali yafuatayo
Wakuu wa mikoa nchi nzima wanao huo ulinzi...na mara nyingi hutembelea studio za TV hata usiku kuhojiwa kwenye vipindi n.k. utaratibu uliozoeleka miaka yote ni kwamba askari hao hubaki nje na kumsubiri bosi wao. Hata RC wa dar ameshaenda mara nyingi clouds...askari wake wanakaa nje. Katika historia ya miaka 50+ ya nchi hii askari hawajawahi kuingia na silaha za moto kwenye kituo cha TV/radio kwasababu maana ya tendo hilo wanaijua. Je ni nini kilibadilika ijumaa? Clouds ghafla imetuhumiwa kuwa genge la uhali na kuuza madawa mpaka RC avamie kwa style ile?
Ngoja Dua za watanzania zifanye kazi Daud atapata jawabu mda si mrefu tu.Angewapa pole kama wangevamiwa na Mwakyembe siyo Makonda
Uvamizi ni vijana wa shilawadu. kulazimishwa kwa mtutu wa bunduki kumpa RC flash ya kipindi...mali ya kituo..ambacho kilizuiwa kurushwa kwasababu kimekiuka maadili ya utangazaji...na kwa muujiza flani kipindi hicho kuishia kuvujishwa kwenye mitandaoUvamizi gani huku hakuna hata mtu aliyetolewa ngeu
Flash sasa imekuwa ngeu yaani mnaingia vita msio ijua hii vita ina interest kwa wauza unga nyie mmeshika bunduki bila kuelewa adui wa ukweli ni nani.MAKONDA GOO WATAELEWA TUUvamizi ni vijana wa shilawadu. kulazimishwa kwa mtutu wa bunduki kumpa RC flash ya kipindi...mali ya kituo..ambacho kilizuiwa kurushwa kwasababu kimekiuka maadili ya utangazaji...na kwa muujiza flani kipindi hicho kuishia kuvujishwa kwenye mitandao
Kituo cha Clouds media juzi kilivamiwa na mkuu wa mkoa Paul Makonda, watu mbalimbali wamekuwa wakitoa pole na hata maneno ya kuwatia moyo, ajabu hadi sasa sijasikia tamko lolote kutoka kwa kiongozi mkuu wa nchi kuwapa pole rafiki zake waliomfanyia kampeni ya nguvu nchi nzima.
Rais kama kiongozi wa nchi anatakiwa awe mfano wa kuigwa na upendo kwa wananchi wake wote bila kujali ni rafiki zake au adui wa rafiki yake.
Namkumbusha tu kwamba aelewe kuna kesho, Makonda peke yake asingeweza kumuingiza madarakani kama anavyodhani, atakuja kuwahitaji tena kipindi kingine.
Kumbe wewe ndio wale wale maoamini kila anayemkosoa makonda ni muuza madawa? Kwa habari yako mimi ni supporter mkubwa sana wa vita dhidi ya madawa...sikukubaliana na mbinu aliyotumia makonda lakini nilifurahi angalau alikua ana uthubutu. Sasa vita hiyo imempata kamanda wake sianga...anafanya kazi yake kwa weledi mkubwa tena bila ya kukimbilia kwenye vyombo vya habari. Watu wanadakwa kimya kimya bila kupewa taarifa kabla ili wafiche ushahidi. Na matunda yanaonekana.Flash sasa imekuwa ngeu yaani mnaingia vita msio ijua hii vita ina interest kwa wauza unga nyie mmeshika bunduki bila kuelewa adui wa ukweli ni nani.MAKONDA GOO WATAELEWA TU
Madawa yameumiza na kuua waTz wengi kama ishu ni cheti kwa nini wasingeileta kabla ya issue ya nadawa ndio maana wa Tz tunaojielewa tumegundua hizi ni mbinu za wauza udaga ili kubadilisha topic we unajua maana ya uvamizi wewe?Kumbe wewe ndio wale wale maoamini kila anayemkosoa makonda ni muuza madawa? Kwa habari yako mimi ni supporter mkubwa sana wa vita dhidi ya madawa...sikukubaliana na mbinu aliyotumia makonda lakini nilifurahi angalau alikua ana uthubutu. Sasa vita hiyo imempata kamanda wake sianga...anafanya kazi yake kwa weledi mkubwa tena bila ya kukimbilia kwenye vyombo vya habari. Watu wanadakwa kimya kimya bila kupewa taarifa kabla ili wafiche ushahidi. Na matunda yanaonekana.
Tukirudo kwenye mada...swala la ngeu sio la msingi...na hili nimesema toka mwanzo. Swala ni kitendo cha habari kuvamia kituo na mapolisi wenye silaha za moto...tena kuchukua mali za kituo hicho kwa kuforce.
Au wewe unakubaliana na kusupport yaliyotokea ijumaa?
Huhitaji kunihubiria kuhusu athari ya madawa. Swala hilo limenigusa kwa karibu kuliko unavyoweza kujua. Ndio maana nikasema mimi nitakua wa mwisho kupinga vita hiyoMadawa yameumiza na kuua waTz wengi kama ishu ni cheti kwa nini wasingeileta kabla ya issue ya nadawa ndio maana wa Tz tunaojielewa tumegundua hizi ni mbinu za wauza udaga ili kubadilisha topic we unajua maana ya uvamizi wewe?
Nipe home work nitarudi kukujibuHuhitaji kunihubiria kuhusu athari ya madawa. Swala hilo limenigusa kwa karibu kuliko unavyoweza kujua. Ndio maana nikasema mimi nitakua wa mwisho kupinga vita hiyo
Ila mbona kama unahamahama kwenye mada mkuu? Maana hapa tunaongelea tukio la ijumaa. Sasa wewe naona kama unarukia kwenye madawa...mara urukie kwenye vyeti. Tubaki kwenye mada. Nimekuuliza unakubaliana na kusupport tukio lililotokea clouds ijumaa usiku? (Kama neno uvamizi linakuchefua..ita unachotaka).
Madawa yameumiza na kuua waTz wengi kama ishu ni cheti kwa nini wasingeileta kabla ya issue ya nadawa ndio maana wa Tz tunaojielewa tumegundua hizi ni mbinu za wauza udaga ili kubadilisha topic we unajua maana ya uvamizi wewe?
Mkuu nimeona kitu kimoja leo. Kama ambavyo kila anayemkosoa Rais anaitwa "mnufaika wa mfumo wa kifisadi".....kila anayemkosoa RC wa DSM anaitwa "Muuza madawa"Na magari ya wauza unga kakabidhiwa mkuu wa mkoa msipoteze mada kwa kivuli vha wauza unga
nimekuelewa ila juwa mimi na wewe hatukuwepo studio...lakini habari hii ili iwe na uzito ata huyo magufuli angeweza kufuta maneno yake ya kuwa watanzania tunapenda umbea mitandaoni,Naona umeamua kuja na gia ya kuhoji vyeti vyangu...mimi sina nia ya kujibizana na wewe katika hilo. Nipo kwenye mada tu.
Hakuna ambaye anashida ya RC kuwa na ulinzi..hata akiwa nao mchana ni haki yake. Ila wewe jiulize maswali yafuatayo
Wakuu wa mikoa nchi nzima wanao huo ulinzi...na mara nyingi hutembelea studio za TV hata usiku kuhojiwa kwenye vipindi n.k. utaratibu uliozoeleka miaka yote ni kwamba askari hao hubaki nje na kumsubiri bosi wao. Hata RC wa dar ameshaenda mara nyingi clouds...askari wake wanakaa nje. Katika historia ya miaka 50+ ya nchi hii askari hawajawahi kuingia na silaha za moto kwenye kituo cha TV/radio kwasababu maana ya tendo hilo wanaijua. Je ni nini kilibadilika ijumaa? Clouds ghafla imetuhumiwa kuwa genge la uhali na kuuza madawa mpaka RC avamie kwa style ile?
Acha kucopy na kupaste story za wavivu wenzako wa hapo mtaani ni magari mangapi? Na pia ya wauza unga wepi hao?Na magari ya wauza unga kakabidhiwa mkuu wa mkoa msipoteze mada kwa kivuli vha wauza unga
Acha kucopy na kupaste story za wavivu wenzako wa hapo mtaani ni magari mangapi? Na pia ya wauza unga wepi hao?