Me I and my self
JF-Expert Member
- Sep 16, 2016
- 4,084
- 8,860
Komaa utapata ukuu wa wilayaWho are you kutaka kumuita rais wetu muongo? .
Jee kumuita rais ni muongo ni kosa la jinai la kumchonganisha na wananchi wake walimchagua kwa imani kubwa kufuatia ahadi hizo? .
Jee alipoahidi yote hayo, alitoa time frame?.
Acha kumuita rais muongo, ahadi zote zitatekelezwa tuu in due time hadi kufikia 2020 zitakuwa zimekamilika.
Pasco
Mwandishi amesema hivo kutokana na kauli hizo kupingana na nyenzake just within a short period of time kama alivyonukuu hapo juu,dai lako lingekuwa na mantiki kauli hizo zisingekinzana mpaka 2020 lakini hata1 year haijaisha tayari kauli hizo zinakinzana kama zilivyoorodheshwa!Who are you kutaka kumuita rais wetu muongo? .
Jee kumuita rais ni muongo ni kosa la jinai la kumchonganisha na wananchi wake walimchagua kwa imani kubwa kufuatia ahadi hizo? .
Jee alipoahidi yote hayo, alitoa time frame?.
Acha kumuita rais muongo, ahadi zote zitatekelezwa tuu in due time hadi kufikia 2020 zitakuwa zimekamilika.
Pasco
Can you justify your defensive point??Si vema kumuita Rais muongo.
Kwani yeye malaikaSi vema kumuita Rais muongo.
Yes hata ukiwaangalia humu ni wale wale either wanatumwa au wanatumiwa bila wao kujijua.....Wanaomtetea rais wana maslahi binafsi au ni malimbukeni
Halua?juzi kwa nini hakuomba na tende na halua...
Ata akikushika tako,he is right?The Boss is always right.
Pasco
Unamaanisha hiyo ndio kazi ya rais wetu? .Ata akikushika tako,he is right?
Naona unataka kuuchafua huu uziAta akikushika tako,he is right?
Tumpe muda? Upi zaidi?Mwaka 1 tu matamko zaidi ya 20...au ndo utashi mpya wa kiutawala
Tumpe muda.. .!!!!
Who are you kutaka kumuita rais wetu muongo? .
Jee wajua kwamba, kumuita rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni kuwa ni muongo ni kosa la jinai la kumchonganisha na wananchi wake walimchagua kwa imani kubwa kufuatia ahadi hizo? .
Jee alipoahidi yote hayo, alitoa time frame?.
Acha kumuita rais wetu muongo, ahadi zote alizotoa zitatekelezwa tuu in due time hadi kufikia 2020 zote zitakuwa zimekamilika. hayo maneno Jamhur ya Muungano wa Tanzania hayapo Kwenye uzi umeyaongeza wew kaka Pasco. Angeyataja ingekua na tafsir nyingne tofaut. Labda anamuongelea Rais wa Rwanda au Burundi. Nmeongea kwa muktadha wa sheria
Pasco
Angalia kwanza hiki kibonzo kisha linganisha na yanayotokea hivi sasaWho are you kutaka kumuita rais wetu muongo? .
Jee wajua kwamba, kumuita rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni kuwa ni muongo ni kosa la jinai la kumchonganisha na wananchi wake walimchagua kwa imani kubwa kufuatia ahadi hizo? .
Jee alipoahidi yote hayo, alitoa time frame?.
Acha kumuita rais wetu muongo, ahadi zote alizotoa zitatekelezwa tuu in due time hadi kufikia 2020 zote zitakuwa zimekamilika.
Pasco
Nakumbuka hili lilikuwa ni tangazo lenye mihemko la TRA ambalo sasa halisikiki tena redioni