Kwanini Rais analazimisha kuungwa mkono?

Kwanini Rais analazimisha kuungwa mkono?

I agree with you 100%.
Mimi huwa nawashangaaha sana, mnamkosoa Raisi halafu mnarudia maneno yaleyale aliyoyaongea. Kwa sababu hata yeye kasema tuwe kitu kimoja kuhusu mauaji ya Kibiti. Hau huwa hamsikilizi mkaelewa?
 
Kwa iyo akikwambia uwe bwabwa utakuwa kwasababu ametaka?
Akili hizo mnazo nyie kwa sababu mmerithi kwa MTU wenu huyo wa kujinyenyea, hawezi kuongea na hata kutembea hawezi. Na ndiyo maana akilize zenu zimerithi umburula. Hamjui kuchamba mambo.
 
huyu jamaa nafikiri ni laana .... hayo maombi anayotaka tumwombee hayataweza kumwokoa wala kumsaidia...
 
Ikiwa anadiriki kutamka hadharani kuwa yanayotokea Kibiti yana uhusiano na Masheikh, BILA SHAKA ni KUUTUSI UISLAM na Waislam.

Halafu anajidai yeye ni kiongozi wa kweli., SIMUAMINI tena. ameiumiza imani yangu.
Ina maana wewe huamini kama kuna magaidi duniani? Au na wewe ndiyo miongoni mwao?
 
OKW BOBAN SUNZU Messages - 19,933 ,Likes - 9,533 ,Trophy pts - 280 Liked - 1,645 .. THREADS INITIATED PER DAY (4-10).. Wewe ni MPUMBAVU na LOFA unayeshinda JF,hatuwezi kupata maendeleo kwa kuwa na kizazi cha watu aina yako.Mnalipwa kupandikiza propaganda humu,ila tumeshawashtukia na tutawatengua mmoja mmoja mpaka muishe,mnapigana Vita msiyoijua,nia yenu ni ovu ndio maana hamuwezi kufanikiwa.Hata wale wa KIBITI boss wenu ni mmoja ila hamjuani.,Your end is very close.Nothing in any country is above the government unless it's a weak government.Ni hayo tu kwa Sasa.
Mkuu acha kunirukia,nani anaunga mkono ujinga wa Kibiti,kama mnamjua anaewezesha mchukulieni hatua kwa mujibu wa sheria,sio kurukia watu.Hoja ya Lowasa ni kwa nini mashehe hawapelekwi koti?povu la nini
 
Wewe kaa kimya ndugu kuficha ujinga wako!!! Rais ana masikio mapana ya kusikia kokote na macho ya kuona popote!! Acha achape kazi!!!!
Wanasiasa wapinzani hawana pa kushikilia wamebaki kutafuta kiki.
 
Akili hizo mnazo nyie kwa sababu mmerithi kwa MTU wenu huyo wa kujinyenyea, hawezi kuongea na hata kutembea hawezi. Na ndiyo maana akilize zenu zimerithi umburula. Hamjui kuchamba mambo.

Acha kupanic vitu vidogo,kwani uyo jamaa wenu ni Mungu hawezi sema ivyo.hakuna kizungu anaongea zaidI ya WATCH OUT.
 
Mimi huwa nawashangaaha sana, mnamkosoa Raisi halafu mnarudia maneno yaleyale aliyoyaongea. Kwa sababu hata yeye kasema tuwe kitu kimoja kuhusu mauaji ya Kibiti. Hau huwa hamsikilizi mkaelewa?
Simkosoi Rais...namkosoa aliyesema watu wanawekwa ndani bila kushitakiwa. Wakati anajua wengine wanaona raha Kuna wasio na hatia.
 
Rais hakutaja mtu,halafu rais na wewe nani yupo kwenye position ya kupata data za ukweli?
Ivi huwezi kutumia ata akili za kuzaliwa? Kwahiyo unaamini hao mashehe ndo wauaji wa kibiti kisa kasema mkubwa? tuweni na akili mda mwngne wa tz.
 
Sijawah kuona LAISI mduanzi kama huyu, jamaa muoga pia hana confidence kabisa yaan.
 
We sema hana uwezo wa kutawala, huku akiwa anakutawala na unatii anachotaka. JPM ndiyo amiri jeshi alitakalo utafuata tu.
Sikujuwa utawala ni wakishamba mno ngoja kibiti zizaliwe kibao kwa kibiti chake na hela hana komaeni na kiburi na dharau
 
Back
Top Bottom