Kwanini Rais analazimisha kuungwa mkono?

Kwanini Rais analazimisha kuungwa mkono?

kwani hao masheh walishikwaga lini na wapi?
izo sare za jeshi 5000 nani kakamatwa nazo na wapi ma lini? mbona hawakuita hata waandishi wa habari kama zile za magereza
aendelee kujikweza tu atashushwa tu
 
maendeleo haya tunayohangaikia ili kusudi tuokoe masikini hawa asietupatia sifa lazima kuna kitu kinachompa kick
 
Wewe ndiyo unaona analazimisha, ila wanaoona jihudi zake sio Tanzania tu.
 
Leo kachemsha mbaya kwenye issue ya mashehe,

Kateua wakristo waislam wamenyamaza, Leo tena anasema watakaa lokapu hadi wakome,

TISS nayo kimeo, mavazi ya jeshi yanauhusiano gani na kibiti,
 
Kitendo cha kuingiza askari wa makirikiri mtaani jana kwa mara ya kwanza toka tupate Uhuru, nimegundua jamaa hana amani ya moyoni mwake. Kila anayekosoa utawala wake yeye anamuona na kumfanya ADUI wa Taifa.
Hana imani na JWTZ
Hana Imani na Police
 
Analazimisha kwakua anajua wengi hawakumchagua,aliiba kura za Lowasa,kwakusaidiwa na lubuva,na akalazimisha ccm itawale Zanzibar,ili awe wa muungano wa kibabe,ushahidi ni kauli zake za kutuma zombie Zanzibar, kuzuia fyokofyoko.na bara kukamata na kusingizia,vijana makosa mazito na kuharibu mitambo ya vijana waliokua wanakusanya matokea ya upinzani.
Hivyo kila anapokusanya watu ktk uwepo wake lazima serikali iwalipe waliomkusanyikia na kumchezea ngoma !
Ndo sababu tutasubiri viwanda,elimu bure,huduma za afya,mpaka kutakucha bila kuona kitu,kwakua hela zinatumi katika kujiweka madarakani kwa nguvu,pia kuweka polisi sawa ili wakandamize wananchi na kuwaonea,ili yeye aendelee kuwa madarakani.Hapa salama yetu ni kumlilia Mungu sana,hadi machozi yetu yaguse kiti cha enzi cha Mungu,ili atunasue katika mikono ya huyu mtu.na wala uovu huu sio wa ccm !ni wa yeye pekeyake,kwakua hata ccm wengi tupo nao ndani ya tope hili ! Niwachache sana wanaofaidi kupitia yy.
 
Back
Top Bottom