Kwanini Rais analazimisha kuungwa mkono?

Kwanini Rais analazimisha kuungwa mkono?

Kakosea sana kuhusisha suala la.masheikh ..na kibiti
Kibiti sio siasa
Tuungane kama..Taifa

Siyo siasa wala dini ni nini? na waliowekwa ndani kwa nini wamewekwa huko? Wanaouwa Kibiti si binadamu kwa kuwa ni CCM na watumishi wa Serikali,tulitaka auwawe nani ndipo tuunganishe sauti zetu kupinga uddhalimu huu?

Kuna watu wanauwawa kama wanyama na mmoja anahamasisha vurugu za kundi moja la watanzania unashauri tuungane naye na kumpinga JPM? Sema tuungane katika jambo gani kama kuna matuio ya kuwauwa watanzania wenzetu na mwingine anakoleza moto.
 
Analazimisha kwakua anajua wengi hawakumchagua,aliiba kura za Lowasa,kwakusaidiwa na lubuva,na akalazimisha ccm itawale Zanzibar,ili awe wa muungano wa kibabe,ushahidi ni kauli zake za kutuma zombie Zanzibar, kuzuia fyokofyoko.na bara kukamata na kusingizia,vijana makosa mazito na kuharibu mitambo ya vijana waliokua wanakusanya matokea ya upinzani.
Hivyo kila anapokusanya watu ktk uwepo wake lazima serikali iwalipe waliomkusanyikia na kumchezea ngoma !
Ndo sababu tutasubiri viwanda,elimu bure,huduma za afya,mpaka kutakucha bila kuona kitu,kwakua hela zinatumi katika kujiweka madarakani kwa nguvu,pia kuweka polisi sawa ili wakandamize wananchi na kuwaonea,ili yeye aendelee kuwa madarakani.Hapa salama yetu ni kumlilia Mungu sana,hadi machozi yetu yaguse kiti cha enzi cha Mungu,ili atunasue katika mikono ya huyu mtu.na wala uovu huu sio wa ccm !ni wa yeye pekeyake,kwakua hata ccm wengi tupo nao ndani ya tope hili ! Niwachache sana wanaofaidi kupitia yy.
Joyce kama hukumchagua ni wewe, tulimchagua tupo wengi zaidi ya hivyo mnavyojidanganya. Halafu usiwasemee watu wewe simea nafsi yako.
 
Mzee anapenda kiki kunakamladi ka maji huku mwanza kengezinduriwa hata nawaziri kafosi aje yeye
 
Hapo alipo wahusisha Masheikh na Lowasa na nguo za jeshi na mauaji ya Kibiti haya ngoja tuone mwisho wake
Ikiwa anadiriki kutamka hadharani kuwa yanayotokea Kibiti yana uhusiano na Masheikh, BILA SHAKA ni KUUTUSI UISLAM na Waislam.

Halafu anajidai yeye ni kiongozi wa kweli., SIMUAMINI tena. ameiumiza imani yangu.
 
Katika maisha ya kawaida mtu unaweza kumlisha,kumpeleka chooni,kumuogesha,kumvisha nk lakini bado akakununia na kukusema vibaya kwa watu. Ndani ya familia mke anaweza kumpa mumewe kila kitu,lakini bado akadundwa na familia ikaendelea. Hizi ni principles za kawaida kabisa.

Sasa iweje katika nchi ya kidemokrasia rais alazimishe watu kumuunga mkono.

Je, rais hatambui mawazo kinzani na mbadala.Hivi kweli hakuna jema ambalo linaweza kupatikana katika kupigwa huko?Mbona Tundu Lissu akimpinga Rais lakini leo hii tunaona mnapita mlemle?

Kinachonishangaza zaidi ni rais kuhusisha "Mashehe wa Lowasa" na matukio ya Kibiti!

Wewe kaa kimya ndugu kuficha ujinga wako!!! Rais ana masikio mapana ya kusikia kokote na macho ya kuona popote!! Acha achape kazi!!!!
 
we
Ujui chochote na ningumu kumuelewa rais kwasababu wewe mwenyewe unaishi kama bendera na ujamuelew chochote ivi ufikili tanzania ina mashekhe wangapi kwa nini wawe wao.kwaupande walowasa bado ni mnafki na unafki wake utamuweka pabaya uzur rais anatoa onyo kabla sasa aendele na ujinga wake
kiazi kweli kakojoe ulale acha wakubwa waongee!!!!!
 
OKW BOBAN SUNZU Messages - 19,933 ,Likes - 9,533 ,Trophy pts - 280 Liked - 1,645 .. THREADS INITIATED PER DAY (4-10).. Wewe ni MPUMBAVU na LOFA unayeshinda JF,hatuwezi kupata maendeleo kwa kuwa na kizazi cha watu aina yako.Mnalipwa kupandikiza propaganda humu,ila tumeshawashtukia na tutawatengua mmoja mmoja mpaka muishe,mnapigana Vita msiyoijua,nia yenu ni ovu ndio maana hamuwezi kufanikiwa.Hata wale wa KIBITI boss wenu ni mmoja ila hamjuani.,Your end is very close.Nothing in any country is above the government unless it's a weak government.Ni hayo tu kwa Sasa.
 
Tunasubiri pesa za makinikia tuzione mubashara, serikali yetu sikivu haina,mchezomchezo.ACACIA wameshasarenda! Lakini wadau, tusiwe wasahaulifu, bado zile shilingi 50000/= za kila kijiji, tunazikumbuka.Mjomba tunaakiba ya kutosha.Tena kwa hapo jamani tusipotezeane upepo.
 
OKW BOBAN SUNZU Messages - 19,933 ,Likes - 9,533 ,Trophy pts - 280 Liked - 1,645 .. THREADS INITIATED PER DAY (4-10).. Wewe ni MPUMBAVU na LOFA unayeshinda JF,hatuwezi kupata maendeleo kwa kuwa na kizazi cha watu aina yako.Mnalipwa kupandikiza propaganda humu,ila tumeshawashtukia na tutawatengua mmoja mmoja mpaka muishe,mnapigana Vita msiyoijua,nia yenu ni ovu ndio maana hamuwezi kufanikiwa.Hata wale wa KIBITI boss wenu ni mmoja ila hamjuani.,Your end is very close.Nothing in any country is above the government unless it's a weak government.Ni hayo tu kwa Sasa.
The only weak government is magufuli government and kibiti is a living proof go fight men who attack with guns leave wise men who just speak alone....
 
Ikiwa anadiriki kutamka hadharani kuwa yanayotokea Kibiti yana uhusiano na Masheikh, BILA SHAKA ni KUUTUSI UISLAM na Waislam.

Halafu anajidai yeye ni kiongozi wa kweli., SIMUAMINI tena. ameiumiza imani yangu.

Humuamini kwa kuwa huamini katika kweli.Thibitisha kuwa hawahusiki.Kwa nini unaamini kuwa kundi dogo la Masheikh ni waislamu wote wanahusika.

Je wachungaji wachache wakionyeshwa makosa yao au wakituhumiwa maana yake wakristo wote wametuhumiwa? boresha matumizi ya akili yako kidogo tu.Humu jukwaani kuna Mchungaji mmoja alituhumiwa kuzaa nje ya ndoa yake na mwingine alitajwa kujihusisha na ulevi na kulala ulevini na asubuhi akapitia kutukana jirani zake.Hakuna mkristo aliyetangaza kutukanwa Ukristo bali kuna waliomtetea yeye.

Usiyahusishe mapenzi ya chama chako na siasa,uhalifu na imani yako
 
Back
Top Bottom