Viongozi wakuu wa Hamas wasiotaka kusitisha vita wote wanaishi nje ya Palestina, wanaoumia ni raia

Shotocan

JF-Expert Member
Nov 21, 2023
2,230
4,653
Viongozi wakuu wa Hamas wasiotaka kustisha vita wote wanaishi nje ya Palestinian kama Qatar nk wanaoumia ni raia.

Raia wa Gaza waandamane kuwakataa viongozi wa Hamas na na chama Chao na kuwa wao kama raia hawataki vita na hawataki Hamas.
 
Akifa muislam anaepigania haki yake huyo peponi au heshima ya dini yake
Ungekuwa waijua Dini vizuri usingekuwa unaandika kwa uhakika hivyo... Waislam wote mshaambiwa kuwa Dhambi zenu zote zinasameheka hata uasherati ushoga n.k kasoro Shirki tu. Ndio lazima muende Jehanam.. sasa tambua kushurikisha Jina la Allah na mtu mwingine kiuwezo ni Shirki.. si ndio.

Basi kutamka Shahada ni Shirki.. kwenda kinyume na Quran ni kama Allah kawaambia Mswali mara 3 kwa siku mnaacha mnamfuata mtume wenu swala 5 ni shirki hiyo so kwa jinsi yaliyo mengi mnakosea hamuwezi kwenda peponi kwa kuleta fujo mpigane mfe kama tiketi.. no no no.. Hao Arabs wa Gaza Quran imeandika kabisa Pale walipo ni land ya watoto wa Israel aliambiwa nabii Mussa. Mashehe wanawadanganya waislam ili wapotee ukweli na uislam ni maadui.. be honest for yourself usipotee
 
Viongozi wakuu wa Hamas wasiotaka kustisha vita wote wanaishi nje ya Palestinian kama Qatar nk wanaoumia ni raia

Raia wa Gaza waandamane kuwakataa viongozi wa Hamas na na chana Chao na kuwa wao kama raia hawataki vita na hawataki Hamas
Maongezi ya mwisho Haniyah alikubali vita isimame ila Sinwar ndie alikataa hadi majeshi ya IDF yaondoke yote Gaza. Kitu ambacho haiwezekani.. hata nchi za kiarabu zimewachoka Hamas
 
Viongozi wakuu wa Hamas wasiotaka kustisha vita wote wanaishi nje ya Palestinian kama Qatar nk wanaoumia ni raia

Raia wa Gaza waandamane kuwakataa viongozi wa Hamas na na chana Chao na kuwa wao kama raia hawataki vita na hawataki Hamas
Sasa Kiongozi anakaa uwsnja wa vita?

Umeona wapi hili?
 
Viongozi wakuu wa Hamas wasiotaka kustisha vita wote wanaishi nje ya Palestinian kama Qatar nk wanaoumia ni raia

Raia wa Gaza waandamane ikuwakataa viongozi wa Hamas na na chana Chao na kuwa wao kama raia hawataki vita na hawataki Hamas
Sisi Hamas hatutaki poo ya kinafiki. Sisi kukataa poo kinawaathiri nini nyinyi na Israel??
 
Viongozi wakuu wa Hamas wasiotaka kustisha vita wote wanaishi nje ya Palestinian kama Qatar nk wanaoumia ni raia

Raia wa Gaza waandamane kuwakataa viongozi wa Hamas na na chana Chao na kuwa wao kama raia hawataki vita na hawataki Hamas
Vita wanapigana na watoto unadhani raia wa Gaza ni mapunguani kama wewe Hamas wamehlshindwa kuwamaliza wamebaki kuuwa raia wasikuwa na hatia halafu wewe akil za sisimizi unataka raia wa Gaza waandame.
 
Viongozi wakuu wa Hamas wasiotaka kustisha vita wote wanaishi nje ya Palestinian kama Qatar nk wanaoumia ni raia

Raia wa Gaza waandamane kuwakataa viongozi wa Hamas na na chana Chao na kuwa wao kama raia hawataki vita na hawataki Hamas
Ni sawa na rais tu ni kamanda ambaye anaongoza majeshi na kuyaamuru yaingie vitani ila yeye anabaki anakula bata.
Bush aliwatuma vijana iraq na afghanistan, wakafa wengine wakapata majanga ya kisaikolojia lakini yeye alikuwa haingii vitani. Ni utaratibu wa dunia sheikh
 
Kwani kuna vita? Mnatwambia Isreal wanawamaliza Hamas. Leo mnatwambia Isreal wanaomba poo ktk vita. Muislam hasa mwenye imani hashindwi vita na kafiri. Muislam akimuua kafiri au akiuliwa na kafiri Muislam huyo peponi hasa Muislam akiwa anapigania heshima yake
ukimaliza kuandika ujinga huu , usije na thread ya kilio cha vifo vya wanagaza
 
Ungekuwa waijua Dini vizuri usingekuwa unaandika kwa uhakika hivyo... Waislam wote mshaambiwa kuwa Dhambi zenu zote zinasameheka hata uasherati ushoga n.k kasoro Shirki tu. Ndio lazima muende Jehanam.. sasa tambua kushurikisha Jina la Allah na mtu mwingine kiuwezo ni Shirki.. si ndio.. basi kutamka Shahada ni Shirki.. kwenda kinyume na Quran ni kama Allah kawaambia Mswali mara 3 kwa siku mnaacha mnamfuata mtume wenu swala 5 ni shirki hiyo so kwa jinsi yaliyo mengi mnakosea hamuwezi kwenda peponi kwa kuleta fujo mpigane mfe kama tiketi.. no no no.. Hao Arabs wa Gaza Quran imeandika kabisa Pale walipo ni land ya watoto wa Israel aliambiwa nabii Mussa.. mashehe wanawadanganya waislam ili wapotee ukweli na uislam ni maadui.. be honest for yourself usipotee
Wewe utakua mfuasi wa Gwaj anaekula pesa zako kila j2
 
Mbona Netanyau na mawaziri wake hatuwaoni kwenye uwanja wa vita ndani ya gaza ,badala yake wapo Telaviv wakila bata na familia zao ,tena Netanyau sasa hivi anaishi kwenye nyumba iliyo jaa mahandaki.

Mwezi wa 12 mwaka jana kuna video ilio waonesha watoto wa Netanyau wakiwa bich wakila bata na malaya nchini Marekani wakati watoto wa waisrael wengine wapo gaza wanakufa na kutiwa vilema.
Alafu kingine viongozi wa kisiasa walioko nje ya gaza wao wanawasikiliza viongozi wa kijeshi walioko gaza watakacho taka ndo kitakacho wasilishwa kwenye mazungumuzo.
 
Back
Top Bottom