Kwetunikwetu
JF-Expert Member
- Dec 23, 2007
- 1,535
- 425
Si alishastaafu.......akapumizike bana
Si alishastaafu.......akapumizike bana
you dont know hw much this prof is needed pale udsm mkuu!!! (na si kwamba hayupo tayari kufundisha amebaniwa)
Mkuu naelewa umuhimu wake sana....sio yeye tu wapo wengi wa hadhi yake! Lakini tukubali jamani muda ukifika wa kupumzika watu wapumzike. Hili suala la kuongezea watu muda hasa kwenye vyuo vyetu mimi binafsi silipendi, kwa vile wahusika pia wamekuwa wakitumia nafasi hiyo kutofanya proper recruitment ya vijana, sasa unapofika muda wa kuachia ngazi wana-justify kwa kuonyesha existing gaps....!
Ni mtazamo tu, think of it
Baregu bado anahitajika kufundisha pale.....na yeye hajakataaa kufanya hivyo. lakini mizengwe ya taifa hili as usual!!!
Mkuu tuko pamoja......ila bado nafikiri apumzike! Tatizo wasomi wetu huwa hawana exit strategy.....alishajua muda wa kustaafu unakaribia alipaswa kujitafutia 'shamba' mapema akajishughulishe na kilimo kama ilivyo desturi yetu waafrika (hata Koffi Annan alijipumzisha shamba).
Mkuu pia tukubali huu mtindo wa kuongezea watu muda umewalemaza sana. Sometime nilikuwa chuo fulani kuna Prof. alistaafu akaongezewa muda....kwa kweli efficiency yake ilikuwa almost below 10% manake alikuwa akija ofisini saa tatu na kuondoka saa tano, can you imagine? Lakini kwa vile alikuwa ni godfather hakuna aliyekuwa akimwambia chochote....bahati mbaya alifariki kabla mkataba wake wa nyongeza haujaisha.
Kuna Prof. mwingine alipoomba kwa mara ya pili kuongezewa mkataba na kutokea uchelewevu for almost two month alikataa katakata kupitia thesis za wanafunzi wake wa Masters ikabidi jamaa wachelewe (walitumia three years instead of two years).
Kwa hivyo mi bado naona mtu muda wake ukifika wa kustaafu akapumzike.....!
kanini asiende kwa Kagame???huko atathaminiwa tuu.
Kwa wale wanaodai Baregu atundike daruga kwa kuwa alikwishastaafu (kiumri),
Mbona Kingunge Ngombale Mwiru bado yupo kazini hadi leo?
mkuu,Si alishastaafu.......akapumizike bana
mpwazzz!, uko sahihi kabisa ntakugongea senksi baadae, NIKUMBUSHE tu.you dont know hw much this prof is needed pale udsm mkuu!!! (na si kwamba hayupo tayari kufundisha amebaniwa)
mkuu,
profesa mwandamizi kama huyu ni hazina kubwa sana, na serikali iliwekeza pesa nyingi kumsomesha. nionavyo kadri unavyokua na uzoefu mkubwa kama wa huyu prof. ndio umuhimu wako unahitajika hasa kwenye mambo ya research.
mpwazzz!, uko sahihi kabisa ntakugongea senksi baadae, NIKUMBUSHE tu.
Huku tunalalamika hatuna waalimu wa kutosha wakati huo huo waalimu tulio nao tena wenye utaalamu mkubwa tu tunawanyima mikataba eti kwa sababu wako upinzani.
mkuu,
profesa mwandamizi kama huyu ni hazina kubwa sana, na serikali iliwekeza pesa nyingi kumsomesha. nionavyo kadri unavyokua na uzoefu mkubwa kama wa huyu prof. ndio umuhimu wako unahitajika hasa kwenye mambo ya research.
mpwazzz!, uko sahihi kabisa ntakugongea senksi baadae, NIKUMBUSHE tu.
i love thisKwa wale wanaodai Baregu atundike daruga kwa kuwa alikwishastaafu (kiumri),
Mbona Kingunge Ngombale Mwiru bado yupo kazini hadi leo?
Tuache ushabiki......! Haina maana basi kuweka kikomo cha utumishi wa umma...! Watu wafanye kazi mpaka wawe vikongwe......wakizidiwa na maradhi ndio waache wenyewe...!