Kwanini private candidates wengi wanafeli? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini private candidates wengi wanafeli?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Rich Dad, Jan 26, 2011.

 1. Rich Dad

  Rich Dad JF-Expert Member

  #1
  Jan 26, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 741
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Ukiangalia matokeo ya kidato cha nne mwaka huu kama ilivyo miaka iliyopita private candidates wengi wamedondokea kwenye division Four na Zero. Miaka ya hivi karibuni binafsi nimeshuhudia wanafunzi wengi ambao ni private candidates kwa kidato cha nne na sita ( hasa kidato cha nne) wanafeli kwa kiwango cha kuhuzunisha.

  Je, unadhani sababu ni nini? hawasomi ipasavyo? au usahihishaji wao unakuwa tofauti?

  NB:
  Binafsi sitaki kuamini kwamba wanafunzi hawa wana uwezo duni!!! ( mwenye kufahamu sababu ruksa kunisahihisha)
   
 2. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #2
  Jan 26, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,305
  Likes Received: 5,640
  Trophy Points: 280
  jibu
  private

  kaulize maksi zao.ukipata nafasi ya mwanzo itumie uko mbele ni wksi tupu
   
 3. Rich Dad

  Rich Dad JF-Expert Member

  #3
  Jan 26, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 741
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Pdidy,

  haiwezekani iwe kwa kiwango kikubwa namna hii, there is something wrong somewhere!!!! baadhi nawajua wanaweka bidii katika kusoma ili wafaulu mitihani. Na sidhani kwamba ukifeli mara ya kwanza ndo basi tena huwezi kubadilika. Ndo maana hata universities kuna supplementary exams na watu huwa wanatoka.
   
Loading...