Kwanini Posta wamejaa wazee na ukiritimba mwingi?

Kwanini Posta wamejaa wazee na ukiritimba mwingi?

Mbona mabasi kote nchini yanatoa huduma hiyo, sasa iweje wewe ubaki na hiyo posta?
 
Mkuu sababu ni mbili tu! Hatujalifanyia shirika watalaamu wanasema bpr yaani business processes re-engineering kitu ambacho kingesababisha tuwekeze kwenye teknolojia pamoja na rasilimali watu. Pili tumeng'ang'ania "business as usual" bila kuamka usingizini tukajilinganisha na wenzetu hata kufanya "benchmarking"! Hivi hatuwezi kweli kuangalia tu DHL wanafanyeje kazi ya ufanisi namna Ile?
 
hao wazee wanaacha kukaa home wauguze visukari vyao..wanang'ang'ania kukaa maofisini
 
Posta, nikadhani unauliza maeneo ya posta kwanini yamejaa mazee!
Tatizo la wazee wengi wanaona dharau, kutumwa na watu wa umri wa chini. Kwa iyo mashirika mengi ya serikali yana wazeee wengi ambao tayari wana umri Mkubwa na hawataki kutumwa na kupewa maelezo
 
Hivi kwanini Posta wamejaa wazee tupu?
Halafu ni kwanini wana ukiritimba wa parcel za watu?
Utasikia njoo kesho
Nenda Posta fulani mzigo wako haupo humu
ukifika huku wanakwambia umefika lakini bado hatujazitoa kwenye gari

Posta huu ukiritimba mpaka lini?

Hivi hili shirika ni kwanini Serikali inaliacha linakufa " kifo cha mende?

Hivi wizara husika na Serikali hivi Posta wamewapaka dawa gani hamlifatilii hili shirika?

Huku arusha ndo wana mizinguo balaa
Mzigo mpaka uupate hola! Ushapoteza nauli na muda wako wa kutosha

I hate this stupidy behaviour
Umri wa kustaafu ni miaka 60. Hata wao walikuwa vijana kama wewe. Utazeeka na waliopo primary leo watakwambia wewe Mzee. Uzee ni process. Rais wa Tanzania ana miaka zaidi ya 60.
Unawaona wamechoka kwa sababu ys kubeba mixigo
 
Kuna kipindi hua natamani wazee wote wastaafu kutoka serikalini waachiwe vijana wanaoweza kwenda na kasi ya dunia. Wazee wengi wako slow sana, na waka ka mentality flani ka utumishi wa umma wa miaka ya 80
Utazeeka pia. Mbona wazazi wetu wamezeeka pia nao waondolewe kazini kabla ya wakati?
 
Acheni tu majirani watucheke ILA ukweli watanzania CUSTOMER CARE hakuna, yaani ni fafa kubwa...nenda airport ya kilimanjaro utashangaa...mbaya zaidi uwe umetokea nchi za wenzetu huko...mgeni anafika airport vijana wako busy wanapiga story hawana muda, mazingira yenyewe sio safi
Vijana tena?
 
Kote tu katika ofisi za serikali wazee ni shida and slow. Kuna mmoja pale TRA Iringa, tena frontdesk, ni kazi.
Walivyokuwa vijana walichapa kazi sana. Msingeyakuta haya mashirika.
Hata wazazi wetu umri umeenda na kasi ya utendaji imepungua. Mzaxi wako nyumbani hasinzii sebuleni? Nijibu.
 
Back
Top Bottom