Jaman huwa nakua makini sana kuangalia nani aliepost hv ukiangalia kwenye profile yake mgen yawezekana amechangia mada5 au 20 topic yake ya kwanza unaweza kuta ndo hio natafuta mchumba. Kwan inakuaje hapo hebu 2peane mawazo juu ya hawa wa2
Had wenyej
Mara ya kwanza wanaingia humu wakiwa si wajanja,halafu kwenye kutafuta wachumba inaonekana wazoefu wa siku nyingi nao wanakuja na id mpya ya kutongozea ili wasijulikane
teh teh hapo wanaume wanaotumia id za kike ndo noma,heri hata mazoea yaanze kwenye threads kwanza kuliko pm,maana unashangaa mtu hata hujawahi kumwona jukwaani mara kaku-pmNdo mpango mzma, hapo kwenye id wananikera wakaka wanao2mia majna ya kke kujfanya ni wadada af mkgongona anga flan utaskia mi dume wew anakutajia id nyngne ambayo ndo anajulkana vzur kwamba yy ni mwanaume, na ndo wanawasumbua kwel watongozaj utaskia nimekupenda kaka twende pm bas huwa nacheka mie sjui uko pm wanaambzana nn madume ya wa2.
teh teh hapo wanaume wanaotumia id za kike ndo noma,heri hata mazoea yaanze kwenye threads kwanza kuliko pm,maana unashangaa mtu hata hujawahi kumwona jukwaani mara kaku-pm