Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,871
- 155,840
Great thinkers swali liko ubaoni. Naombeni majibu na sio longoz longozzzzz
Ubora unapimwa kwa kuangalia nia ya kutengeneza kitu husika na kinafanyaje kazi ukilinganisha na lengo la kutengeneza.... Hata sumu zina ubora tofauti tofauti...Great thinkers swali liko ubaoni. Naombeni majibu na sio longoz longozzzzz
Great thinkers swali liko ubaoni. Naombeni majibu na sio longoz longozzzzz
Karibia utajiuliza kwa nini tumboni tuna ma.vi lakini hatunuki?
Karibia utajiuliza kwa nini tumboni tuna ma.vi lakini hatunuki?
Hilo nalo ni neno
Ni jibu fupi, zuri, sahihi na linaeleweka.Ubora unapimwa kwa kuangalia nia ya kutengeneza kitu husika na kinafanyaje kazi ukilinganisha na lengo la kutengeneza.... Hata sumu zina ubora tofauti tofauti...
Kwa hiyo kwa kuitazama pombe kali, kama lengo la kutengezwa limetimia, basi ina ubora uliotakiwa...
hata majani ya chai ni hatari lakini ina ubora wa TBS.
Great thinkers swali liko ubaoni. Naombeni majibu na sio longoz longozzzzz