Kwanini Pombe kali na sigara zina alama ya UBORA wakati ni hatari kwa maisha ya mtumiaji?

Bujibuji

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
54,562
2,000
Great thinkers swali liko ubaoni. Naombeni majibu na sio longoz longozzzzz
 
The Monk

Platinum Member
Oct 12, 2012
15,221
2,000
Sasa mkuu Bujibuji hata bunduki zinatofautiana viwango vya ubora, ina maana ufanisi unatofautiana japo zote zinaua.

Alama ya ubora kwenye pombe inamaanisha imekidhi hivyo vigezo vya kuwa hatari kwa maisha ya mtumiaji. Inamaana ukitumia na isikupe mushkeli inabidi uwashitaki kwamba viwango ni feki.
 
Last edited by a moderator:

Ngalikihinja

JF-Expert Member
Sep 1, 2009
21,759
2,000
Great thinkers swali liko ubaoni. Naombeni majibu na sio longoz longozzzzz
Ubora unapimwa kwa kuangalia nia ya kutengeneza kitu husika na kinafanyaje kazi ukilinganisha na lengo la kutengeneza.... Hata sumu zina ubora tofauti tofauti...

Kwa hiyo kwa kuitazama pombe kali, kama lengo la kutengezwa limetimia, basi ina ubora uliotakiwa...

Kurunzi

JF-Expert Member
Jul 31, 2009
5,841
2,000
Hata dawa zina kiwango cha TBS tatizo ni hayo matumizi yaliyozidi kiwango cha TBS.
 
kapuyanga mkware

JF-Expert Member
Nov 16, 2013
589
0
kila industrial product inayotambulika na serikali lazima iwe na kiwango chake cha ubora. Kuna pombe hazikidhi mahitaji ya mlevi au hazileweshi au zina upungufu au wingi wa baadhi ya ingredients. kuna sigara vile2 hazimalizi ile hamu ya kuvuta au nicotine yake iko chini ya mahitaji ya --------/mvutaji. hivyo -------- hamalizi kiu yake ya uvutaji.
Who will deny that a cigarette has fire at one end and a fool at the other ?
 
Nahonyo

JF-Expert Member
Dec 28, 2012
3,826
2,000
Ubora unapimwa kwa kuangalia nia ya kutengeneza kitu husika na kinafanyaje kazi ukilinganisha na lengo la kutengeneza.... Hata sumu zina ubora tofauti tofauti...

Kwa hiyo kwa kuitazama pombe kali, kama lengo la kutengezwa limetimia, basi ina ubora uliotakiwa...

Ni jibu fupi, zuri, sahihi na linaeleweka.
 
Mashaxizo

JF-Expert Member
Jun 13, 2013
6,712
1,225
Vinasaidia sana kuingiza pato la Taifa!
Thus why wanakataza bangi coz mfumo unautumika ktk uvutaji wa bange ni simple sana!
So serikali inajua haitoingiza pato!

Great thinkers swali liko ubaoni. Naombeni majibu na sio longoz longozzzzz
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom