Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,893
- 16,317
Shikamooni wakubwa zangu wote.
Jana wakati ninafungua account yangu ya Facebook nilikutana na post hii ya jamiiforums kwenye ukurasa wao wa Facebook kwamba police wamelaani vikali juu ya taarifa zinazosambaa mitandaoni kuhusu kushambuliwa kwa mwanahabari bwana Sillas Mbise. Angalia picha hapo chini.
Wakati ninasoma taarifa hiyo ya police kuna issue moja nime notice. Ukiangalia kwa umakini Sana anwani ya upande kwa kushoto mstari wa pili kutoka juu utaona email imeandikwa dsmzhabari@gmail.com (dsmz bila shaka ni kirefu cha dar es salaa zone)
Sasa nikaanza kujiuliza, kwanini jeshi letu pendwa na tukufu kama police watumie email account ya Google wakati wanamiliki domain name yao (www.policeforce.go.tz) above all serikali pia ina severs nyingi Sana za bure ambazo zingeweza ku host emails za kanda maalum ya dar? Bila shaka ilipaswa kuwa dsmzhabari@policeforce.go.tz
Ni mimi ndio mjinga ama kuna uzembe idara ya IT ya taasisi kubwa kama police??
OUR MOTTO
========
KIJANA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USITUMIKE VIBAYA KUICHAFUA NCHI YAKO.
Uwanja wa taifa kuandikwa "Tanzania National Main Stadium" is grammatically correct? - JamiiForums
Espionage: Majasusi wa Mossad alivyoiba mkojo wa rais Hafez kwa kutumia CHOO CHA BANDIA - JamiiForums