Binadamu Mtakatifu
JF-Expert Member
- Jan 6, 2021
- 4,337
- 9,079
.
Inakufaje?Unataka JF ife ?!
Haiwezi kufa nimzaliwa wa kwanza😊Unataka JF ife ?!
SaafiInakufaje?
Daaah! Hata zikiundwa hua watu hawazitumii kbsNi kweli aisee..
Tumebakiwa na JF ambayo ni yakuja kuzinguana na kuleta porojo, ushakunaku na siasa za mbulula...na siku hizi imedhibitiwa na serikali inafanya sensored sana...
Wale cream of crop walishaondoka au wamekuwa na mtizamo tofauti na JF ya sasa..
Kuna Udadisi - Rethinking in Action, ambayo kidogo ni watu wenye akili lakini sio changamfu..
Hakuna kabisa platform za science au Techs, zaidi sana unakutana na mablgospoti ambayo yako kuuza advert link na clicks, zimejaa upuuzi mtupu....
unafungua blog usome taarifa imejaa matakataka na matangazo kama kurasa ya mbele ya gazeti,unajikaza unagusa link inayopop unajikuta playstore,ukigusa kurudi unashangaa uko site ya x.
unaamua uahirishe kusoma taarifa.

bado hujaombwa permission ya kutumiwa matangazo
Nimaoni yako piaCopy and Paste
Hahahaha inaboa sanaunafungua blog usome taarifa imejaa matakataka na matangazo kama kurasa ya mbele ya gazeti,unajikaza unagusa link inayopop unajikuta playstore,ukigusa kurudi unashangaa uko site ya x.
unaamua uahirishe kusoma taarifa.
Kuna wale wanafanya ujanja kwenye block wanaandika allow na kwenye allow wanaweka blockbado hujaombwa permission ya kutumiwa matangazo
I dont know your platform but I know this... Ukiwa na platform yyt usidhan watu watakuja tu wakufuate eti watumie social net au forum yako. Inabidi wewe ndio uwafuate (kwa njia mbalimbali).Daah! Inasikitisha kusema akili za watanzania ni kama mchwa wapo kujilimbikiza sehemu moja hawajui labda kunaplatform nyingne wanaweza kupata kusikilizwa na uhuru zaidi
Ikiwa na wewe unaown platform yako weka link au jina, blogs haziruhusiwi. Over
Nakaribisha content manager. For kazi ya kujitolea
Very slow a lot of bugs I think,Pia nimeona hyo tovuti yako ipo slow sana try to fix
That's true mkuu chakula hupelekwa mezani kwa mteja sio mteja afuate chakula jikoni,I dont know your platform but I know this... Ukiwa na platform yyt usidhan watu watakuja tu wakufuate eti watumie social net au forum yako. Inabidi wewe ndio uwafuate (kwa njia mbalimbali).
Hivi hujiulizi kwa nn hadi Facebook bado leo hii wanatangaza kupitia Youtube Ads? Huijulizi kwa nn insta bado inajitangaza kwenye ads mbalimbali mtandaoni?
Af kuna watu wanachukuliaga ile philosophy ya Elon musk ya kutotumia ads lkn yule jamaa yeye kuongea kitu ni ad tosha coz ameshapata hio attention duniq nzima. Sentensi yake moja inaweza affect hadi price ya bitcoin.
Smart advertising ndo itaokoa platform yako. Mfano mie situmiagi kabisa fb na insta, lkn kwa sababu (chrome na wapuuzi wengine) washauza data zangu basi advertising engines zinajua situmii insta na fb, sasa hapo kila siku nikiingia youtube sikosi kuona tangazo la fb. Ndo maana nakwambia wafuate users usisubiri kufuatwa
Sawa nimekuelewaI dont know your platform but I know this... Ukiwa na platform yyt usidhan watu watakuja tu wakufuate eti watumie social net au forum yako. Inabidi wewe ndio uwafuate (kwa njia mbalimbali).
Hivi hujiulizi kwa nn hadi Facebook bado leo hii wanatangaza kupitia Youtube Ads? Huijulizi kwa nn insta bado inajitangaza kwenye ads mbalimbali mtandaoni?
Af kuna watu wanachukuliaga ile philosophy ya Elon musk ya kutotumia ads lkn yule jamaa yeye kuongea kitu ni ad tosha coz ameshapata hio attention duniq nzima. Sentensi yake moja inaweza affect hadi price ya bitcoin.
Smart advertising ndo itaokoa platform yako. Mfano mie situmiagi kabisa fb na insta, lkn kwa sababu (chrome na wapuuzi wengine) washauza data zangu basi advertising engines zinajua situmii insta na fb, sasa hapo kila siku nikiingia youtube sikosi kuona tangazo la fb. Ndo maana nakwambia wafuate users usisubiri kufuatwa
Blogs na website nyingi za tz zinatafuta faida ya muda mfupi matokbeo yake wanakutana na disappointment ya hatari na kukamua kutekeleza platform zao.
Kutaka kutengeneza pesa haraka kunafelisha namna Sahihi ya kukuza web/blog/app nk