Kwanini Pete ya uchumba huvaliwa na Wanawake tu?

nkungwe123

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2014
Posts
444
Reaction score
95
Huwa nawaza bila majibu kwa nini Pete ya huvaliwa na wanawake tuu?
Je, Ni urembo km wapendavyo? Kwanini wanaume hawavai?
 
mbona huulizi kwanini wanaume hawatolewi posa
 
Hiyo dhana ya pete kuvaliwa mtu akiwa kwenye mchakato wa kujiandaa kuolewa ulianzia wapi?

Hebu nijibuni tafadhali!
 
ni kawaida. pia mwanaume anachumbia.. pia mwanamke hatoi mahari. Pia mwanamke huhamia nyumbani kwa mwanaume baada ya kuolewa. pia mwaume ndiye anayeoa. pia mwanaume
 
Hahahaha..... so ni alama ya mtu kukaribia kutoka kwao na kwenda kwa mumewe
 
Hiyo dhana ya pete kuvaliwa mtu akiwa kwenye mchakato wa kujiandaa kuolewa ulianzia wapi?

Hebu nijibuni tafadhali!
We huwezi kumvesha mtu pete bila kufahamu hayo?
Wote tumeikuta hiyo wacha tuiendeleze bila kujua ilianzia wapi ilimradi tu haina madhara.
 
Umejuaje haina madhara?

Kwanini nifanye kitu bila kujua mwanzo wake?
 
Back
Top Bottom