Kiboko.
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 2,896
- 1,214
Huyu aliwahi jitia unajimu kwa kusema uchaguzi huu atashinda Lowassa iwe isiwe...sasa haikuwa akaamua idisds mazima CCM na serikali ya JPMWanabodi,
Mie nashangaa sana kwanini huyu anayejiita Pasco hapendi chochote kinachofanywa na serikali ya Magufuli. Mbona sijahawi kuona akikosoa matendo mabaya ya watendaji serikalini na wafanyabiashara waliokuwa wanakwepa kodi?
Mbona hata hajawahi kusema chochote juu ya Richmond? Mie nadhani hata kama tuna mahaba na serikali iliyopita na machafu yake, basi tutoe sapport kwa serikali iliyopo ili ifanye kazi yake kama amabavyo wananchi tunataka..