Dada bila shaka umenielewa katika ili..unafiki wa Pascal si mzuri kabisa.Alafu wanasema eti anatumia sarcasm..kwani kuna aja gani tena ya kufanya hivyo kama sisi unafiki.Huyo ana vyeo vingine pia zaidi ya mnafik, huyo pia ni fataani, mzandik, muongo na punguani, kwa uchache.
Uramuelewa ndy lugha gani mkuu?Mimi mrufiji ila nitamtetea msukuma pascal mayala mpaka mwisho.
Na uretezi wangu ni huu,mnaompinga hamjawahi"kuyasoma"maandishi ya pasco mnayapitia tu!
Read btn lines uramuelewa na ura enjoy maandishi yake na uyasome ukiwa na uwezo mpana wa kujua mambo kama ukiwa pin head hutojua kitu