Kwanini Padre hatoi sadaka kanisani?

Kwanini Padre hatoi sadaka kanisani?

Wakati mwingine uache tabia yako ya umbea na uzushi. Ona sasa nimekuuliza swali jepesi tu, umeshindwa kujibu.
Khee! Umbea na uzushi upi sasa,Mimi nawajua mapadri wanaohonga, kuzalisha, n.k.... wewe unataka kujua kiwango nilichohongwa unataka kufanya ulinganisho na unachopewaga [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Inakusaidia nini sasa baada ya kuwajua hao Mapadre wanaohonga na kuzalisha? Acha tabia ya umbea mdogo wangu. Pambania maisha yako. Maisha yasiyo kuhusu, achana nayo.
Mimi ndio nimehongwa utasemaje hayanihusu?
Wewe umechanganyikiwa na nini kujua padri ananihonga jaman mbona vichekesho hivi,
Yaan unalia kabisa [emoji23][emoji23]
 
Mimi ndio nimehongwa utasemaje hayanihusu?
Wewe umechanganyikiwa na nini kujua padri ananihonga jaman mbona vichekesho hivi,
Yaan unalia kabisa [emoji23][emoji23]
Nataka nipande dau. Ndiyo maana nimekuuliza kiasi ulichohongwa.
 
Sasa kama umeshawahi kuhongwa si utulie? Cha ajabu ni kipi hapo? Ukiondoa ule Upadre wao, si bado uanaume wao uko pale pale?

Kuna sababu ya kuja kujisifia hapa? Au ndiyo mambo ya biashara huria? Wenzako wanahongwa, wanatulia. Wewe ukihongwa hata elfu 10, kelele mji mzima!!
Kwanini unizibe mdomo, niache niongee nchi huru hii..... halafu pia nimeandika kulingana na mada husika,
Mwanzo ulisema nazusha sasa hivi Padri amekua mwanaume [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Bado hujasema, utasema yote
 
Back
Top Bottom