G
Ungefika Breeze Beach Club iliyoko Bwejuu ndo ungeishiwa pozi,wafanyakazi asilimia 80 ni Wakenya. Wazenj wengi wanaamini ni wa Oman ndo maana wengi wao wapowapo tu kama yule mbuge wao ASHA BAKARI
Naona umeishiwa hoja sasa unaanza kuhusianisha id ya mtu kwa kudhani ndio ina define character yake, kuna watu wanajiita mzimu, fox, laki si pesa n.k sijui nao utawafananishaje!!? Acha ujuha wako usiongee fyongo!! by the way- kama nikikuambia kuwa chuma chakavu ni bidhaa inayotupwa na kudharauliwa na watu wasiojua thamani yake kama wewe, lakini wenye maarifa huokota nakukusanya halafu wanauza na inakuwa biashara nzuuuuri inayoleta kipato kinachoinua maisha yao huku majuha kama wewe wakibaki wameduwaa! Na hicho chuma chakavu hutumika kutengeneza bidhaa nyingine ambayo ikifika sokoni inaitwa mpya japo awali kilidharauliwa!! Je ukimaanisha chuma chakavu kwa jinsi hiyo utakidharau tena?!!Then you were very wrong kama ulidhani ningesoma utumbo wote huo wakati mwandishi mwenyewe ni Chuma Chakavu... sitarajii mtu ambae ni chuma chakavu anaweza kuwa na akili zaidi ya tu kwamba hata akili zake nazo ni chakavu!
You didn't get my point dude... ni kwamba, huna sababu ya kuuliza kitu ambacho hata wewe mwenyewe huna namna ya ku-verify! Hapo nimekupa mfano wa 9 projects worth $ 750m... ukiniuliza ni miradi ipi, naweza kutaja chochote kile kv mradi wa maji ($ 150m) mradi wa ng'ombe wa kisasa (20m), mradi wa Umeme Bwejuu ($ 75m) n.k coz' hauna namna ya ku-verify! So, why wasting time au kung'ang'ania kitu ambacho hauna uwezo wa kuki-verify? Kwanini usiulize maswali ya kawaida yanayohitaji common sense au yale ambao ukweli wake upo wazi?Nadhani thread iko kwenye page ya 6 ndio nimepata jibu tena generic.
Nashkuru sana ndugu yangu. Je unaweza kunijulisha miradi hiyo ya $9 million ni ipi?
Je wanafanya thtough bilateral au kupitia FDI?
Binafsi napenda kwenda kwa data sitaki mambo ya watu kuongea kwa jazba na blah blah na naamini kuwa mimi na wewe tutafika mahala pazuri tuuu kwenye huu mjadala wetu.
Yes lady, with all due respect i'll do it but after you've done yours!!Will you please move your piece of writings to this>>> View attachment 188805???
Move this into>>>View attachment 189258Yes lady, with all due respect i'll do it but after you've done yours!!
Muscut wanawaona Kama nyani lakini Ulaya na marekani kama masokwe na ndio maana huwa wanarushiwa ndizi na wengine kuwaita lugha za kibaguzi Kama niga negro n.k
Hili la Ulaya na america wanalofanyiwa watu weusi kwako ni sasa kisa ni magalatia wenzako!! Au umesahau miaka ya 80 mabwana zenu wazungu walivyo mpigisha Dada yenu paipu ya mbwa!!???
Wazungu nyinyi ndugu zenu wadamu hawawabaguwi si unaona hapa!????
https://www.google.com/search?q=fra...mplies-jewish-singer-will-be-baked%2F;598;273
Kumbuka hao maweita kwa mwarabu mwisho Wa siku wanalipwa mshahara wa kula na familia yao
Mkuu ndio zao hizo kwani wee ulikuwa huwajui....Weee zunguka zunguka tu utakutana na jitu bantu na jeusi anakwambia mi ni mwarabu wa Muscut (Na hata Oman hajafika hapo)...unabakia unamwonea huruma maana huwa kama wagonjwa wa akili ati.🙂
Hawa wagalatia ni watu wenye roho sio nzuri,roho za kwanini.mijitu miengine ipo kama migombe sugu...we umeongea na nani mpaka useme wazanzibar?kama hao ndugu zako..kama wanadream kuwa waafrica zaid..mbona wameganda huku?na mnaitana tuu?popote africa..ukiongea na watu wa sehem flan wanataman kuisho kama sehem flan....wewe kama wewe mburura..huishi kama bibi lako lilivyoishi..unaishi kama watu wa magharib....sasa kwanini mzanzibar akitaman kuishi kama mtu wa oman iwe topic?wivu..roho mbaya..chuki...akili changa..na ukafiri..ndio kinachokusumbua...enjoy zanzibar...bibi yako anateseka na jembe kijijin kwenu..hahaha
Niko hapa Unguja lakini kila ninayezungumza naye anapenda kujinasabisha na wa Oman kwa kila namna kwa kiasi nilidhani ni mambo ya SLAVE MENTALITY SYNDROME maana sijakutana na mzanzibari (including ndugu zangu) hapa ambao wako proud na uAfrica wao.
N akinachonishangaza historia ya hapa inakuwa inaanza baada ya kuja mwarabu sasa nashangaaa kwani kabla ya kuja mwarabu hapa kulikuwa hakuna binadam au vipi?
Lakini kwa wanzaibari kupenda kujinasibisha na waarabu na hususana wa Oman nilitegemea kungekuwa na investments luluki toka Oman kwenye Infrastructure, Energy, Services etc lakini wapi. Sioni kitu na naona wawekezaji wakubwa hapa ni toka UK, China, Kenya na kwa mbali USA. Hivi tatizo la hapa ni ZIPA au ndio hao waarabu washawatosa na hawana habari nao?
Anyway niko hapa Sea Breaze natazama upepo wa bahari huku nahudumiwa na wa fanyakazi toka Kenya!
Mkuu ndio zao hizo kwani wee ulikuwa huwajui....Weee zunguka zunguka tu utakutana na jitu bantu na jeusi anakwambia mi ni mwarabu wa Muscut (Na hata Oman hajafika hapo)...unabakia unamwonea huruma maana huwa kama wagonjwa wa akili ati.🙂
na akienda muscut wanambagua wanamwona kama nyani. wanaishia kutumikishwa tu kama watumwa. huwa nawaonea huruma sana na waarabu ni watumikishaji balaa. kuna migahawa mingi hapa dsm ya waarabu utakuta wameajiri mababa mazima ya kibantu, libaba lijitu lizima linatuhudumia chai, wali, biriani,pilau yaani hadi unawaonea huruma na wao wameridhikaaa kuwa karibu na mwarabu wanajiona kana kwamba na wao wamekuwa waarabu vile na hadi lafudhi imebaidilika wanaongea kama mwarabu. wanatumikishwa kama watumwa mwarabu kakaa mezani kuandika risiti tu na kupokea hela. hii dunia hii///