GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,571
- 108,912
Rejea tu kichwa cha Habari na karibuni katika kuchangia.
utakuwa ndio umebalehe wewe au umevunja ungo???? jando muhimu sana mana watoto hawana simile...
Hahahahaha....Bibi leo umeua!!!Hata mimea iliyo kwenye green house inawahi kukuwa. Fikiri.
Kwa nini kucha za mikono hukua haraka zaidi kuliko za miguu?Rejea tu kichwa cha Habari na karibuni katika kuchangia.
Watoaji wa hizi kauli walikuwepo awamu ile aisee, na walikuwa wakimaanisha.
Awamu hii, usizitumie hizi kauli, zitakucost.
Hili jamaa sijui lina miaka mi ngapi???? Mara lije na pumba pumba zake.
Pia ungeliuliza ' kwanini kucha za mikononi zinawahi kukua kuliko za miguuni ukizikata kwa siku1?