Kwanini nywele za sirini zinawahi kukua kuliko nywele za kwapani kama ukizinyoa siku moja?

Mr faru john

Senior Member
Dec 22, 2016
158
500
Mbona jibu rahisi sana za kwapani hazikuwi sana kwasababu zinapata hewa(mazingira hakuna joto sana,alafu jashoo hupita hapo Mara kwa mara,usumbufu wa jasho)ila za chini sasa...joto jingi(kwa ke;ana chupi,skentait,suruali kama Sio suruali,blauz alafu ndo gauni ama sketi....)kwa mme;(chupi au boxer,suruali tena unakuta imebanaaaaa kutwa nzima)
Hapa hakuna namna lazima ziote tuu...
 

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
38,675
2,000
Watoaji wa hizi kauli walikuwepo awamu ile aisee, na walikuwa wakimaanisha.
Awamu hii, usizitumie hizi kauli, zitakucost.
Ulishaona Mafia wa Kinyarwanda tena wa Kabila lililobarikiwa kwa kila kitu la Kitutsi anaogopa au kutishwa na mikwara yako hii Mbuzi? Swine!
 

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
38,675
2,000
Hili jamaa sijui lina miaka mi ngapi???? Mara lije na pumba pumba zake.
Hivi ukishajua kuwa uzi umendikwa na Mtu mwenye Pumba halafu na Wewe tena ukapoteza muda wako na kuufuata ni nani ndiyo anakuwa Pumba wa Kutukuka? Nasubiri jibu ili nikupe dozi yako ya mwisho ikuingie kisawasawa siku nyingine uionapo tu hii ID ushike adabu zako zote.
 

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
38,675
2,000
Pia ungeliuliza ' kwanini kucha za mikononi zinawahi kukua kuliko za miguuni ukizikata kwa siku1?
Ungeianzishia tu mada yako kuhusiana na hicho ILA kwa uzi huu wa MWANAMUME mada ni kwanini Nywele za sirini hukua haraka kuliko Nywele za Makwapani?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom