Kwanini nywele za sirini zinawahi kukua kuliko nywele za kwapani kama ukizinyoa siku moja?

Rejea tu kichwa cha Habari na karibuni katika kuchangia.
1) Sirini kuna lile joto ambalo husababisha unyevu muda wote.
2) Sirini kuna virutubisho fulani fulani abavyo ni mbolea tosha, ukiweza tumia vidole vyenye kucha jiukune utaona uchavu fulani hivi (NB Mbolea ni Uchafu & Vice versa)
3) Sirini zimefunikwa hivyo zimehifadhiwa, hakuna rabsha za hapa na pale, safe guaranteed
 
Kwasababu via vyako kwa uzazi vinahitaji kiasi fulani cha joto kwa muda uliokadiriwa, kwa kuwa kazi ya mavuzi (hakuna namna) ni ku mantain joto kwa ajili ya sperms hivyo pindi yanapopunguzwa ni lazima yarudi kwa ktk hari yake ya awali ili joto liwe katika kiwango chake lilicho kadiriwa. Kama uliuliza kwa kutakakujua basi fahamu hivyo, kama ulitaka ku challange watu basi hakuna asiyekujua wewe Genta.
 
Mbona jibu rahisi sana za kwapani hazikuwi sana kwasababu zinapata hewa(mazingira hakuna joto sana,alafu jashoo hupita hapo Mara kwa mara,usumbufu wa jasho)ila za chini sasa...joto jingi(kwa ke;ana chupi,skentait,suruali kama Sio suruali,blauz alafu ndo gauni ama sketi....)kwa mme;(chupi au boxer,suruali tena unakuta imebanaaaaa kutwa nzima)
Hapa hakuna namna lazima ziote tuu...
Mbona mkuu umejibu ki panya road:D:D:D:D:D:D
 
Kwanza zote hazipaswi kunyolewa. Mungu kaziweka pale kwa madhumuni maalum. Hata hizo za kichwani zinakazi yake.

Za kwapani na sirini kazi yake ni kuondoa friction kwenye maeneo hayo wakati wa msuguano sehemu hizo zinapokuwa zinafanya kazi yake.

Kwapani kunakuwa na friction during the range of movement of the shoulder joint. Sirini friction hii iko during the sexual act in the normal natural position of the procedure. Nguvu ya friction ya sirini during the function is 100 times kuliko friction ya kwapani during shoulder movements. Hence nywele za sirini ni nyingi na laini zaidi kuliko za kwapani na ukizinyoa zinarudi haraka ili kukulinda na madhara ambayo unaweza kuyapata kama utafanya hilo tendo ukiwa kipara maeneo hayo.

Waelimishe jamii wasipende kunyofoa nyofoa viungo ambavyo Mwenyezi Mungu kawatengenezea. Wadumishe tu usafi wa hizi nywele. Wala wasizisuke ila wanaweza kuzichana na kuzipaka mafuta.
 
1) Sirini kuna lile joto ambalo husababisha unyevu muda wote.
2) Sirini kuna virutubisho fulani fulani abavyo ni mbolea tosha, ukiweza tumia vidole vyenye kucha jiukune utaona uchavu fulani hivi (NB Mbolea ni Uchafu & Vice versa)
3) Sirini zimefunikwa hivyo zimehifadhiwa, hakuna rabsha za hapa na pale, safe guaranteed
Vuzi na kwapa zote ni sehemu za siri (hufichwa). Fanya utafiti mwingine.
 
Mbona jibu rahisi sana za kwapani hazikuwi sana kwasababu zinapata hewa(mazingira hakuna joto sana,alafu jashoo hupita hapo Mara kwa mara,usumbufu wa jasho)ila za chini sasa...joto jingi(kwa ke;ana chupi,skentait,suruali kama Sio suruali,blauz alafu ndo gauni ama sketi....)kwa mme;(chupi au boxer,suruali tena unakuta imebanaaaaa kutwa nzima)
Hapa hakuna namna lazima ziote tuu...
Mr Faru unaweza kufafanua na zile za mkunduni zina maintain temp kwa ajili ya nini ?
 
Kwasababu via vyako kwa uzazi vinahitaji kiasi fulani cha joto kwa muda uliokadiriwa, kwa kuwa kazi ya mavuzi (hakuna namna) ni ku mantain joto kwa ajili ya sperms hivyo pindi yanapopunguzwa ni lazima yarudi kwa ktk hari yake ya awali ili joto liwe katika kiwango chake lilicho kadiriwa. Kama uliuliza kwa kutakakujua basi fahamu hivyo, kama ulitaka ku challange watu basi hakuna asiyekujua wewe Genta.
Jindal Singh unaweza kuekezea zile za mkunduni zinamaitain temp kwa ajili ya nini ? Au zina kazi nyingine ? Kama ipo ni ipo hiyo ?
 
Na ukijiuliza kwanini nywele za kichwani ni ngumu na zingine laini. Bado najiuliza kwanini unaweza kuziona nyingi sana za kule chini lakini ukinyoa sasa utafikiri kafungu ka mboga za majani.
 
Jindal Singh unaweza kuekezea zile za mkunduni zinamaitain temp kwa ajili ya nini ? Au zina kazi nyingine ? Kama ipo ni ipo hiyo ?
Ha! ha! haya bwana!, ha! ha! asshole/butt hair/ nywele katika mkundi zinasaidia kupunguza usuguano wa mashavu ya mkundi, prevent chafing between your ass cheeks, hii ni science bwana hakuna kuona aibu.
 
Na ukijiuliza kwanini nywele za kichwani ni ngumu na zingine laini. Bado najiuliza kwanini unaweza kuziona nyingi sana za kule chini lakini ukinyoa sasa utafikiri kafungu ka mboga za majani.
Za kichwani ni ku absorb ultra violet other radiations so that they don't reach and harm the brain
 
Ulishaona Mafia wa Kinyarwanda tena wa Kabila lililobarikiwa kwa kila kitu la Kitutsi anaogopa au kutishwa na mikwara yako hii Mbuzi? Swine!
Lililobarikiwa na kila kitu maana nini? Kweli mmebarikiwa na kila kitu.... Ujinga, maradhi, upumbavu, uchawi just to mention a few!
 
Back
Top Bottom