Kwanini Nyimbo za DIAMOND PLATNUMZ hazipigwi EATV?

Kwanini Nyimbo za DIAMOND PLATNUMZ hazipigwi EATV?

Wanadai nyimbo kuchezwa kwenye Top Twenty kwa mfano, Ni kura ndizo zinairuhusu. I suppose hizo nyimbo za Diamond hazipati kura za kutosha kuchezwa EATV!
 
Hahahahaaaa mkuu wenzako wanasema kazi ya fasihi ni kuburudisha jamii pia,au hujawahi kusikia hili?
Kuburudisha hicho ni kipengele cha wachekeshaji

Sasa anataka wakina tin white wale wapi?
 
Back
Top Bottom