Kwanini Nyerere hakumkubali Lowassa?

Kwa mwendo huu sitashangaa ukija kusema chibuku inaongeza damu.
 
Lowasa akiteuliwa kuwa mgombea urais najisaidia haja kubwa kwenye ofisi za chama makao makuu.
 
Safi sana Lowassa, kwa hakika juhudi zako tumeziona katika elimu, huduma za jamii na hata katika maswala ya dini umekuwa ukichangia sana bila kujali dini gani bila ubaguzi......wewe ndiye mzee wa maamuzi magumu, wewe ndiye mzee wa kusema na kutenda, wewqe ndiye mzee na mkombozi wa elimu hapa nchini
 

Where is chabruma wanakuchokonoa hukuu.
 
Ushauri wa Diallo kwa wapambe wa Lowassa: Kuleni fedha yake maana ni halali yenu, fedha za kukwapua kwa njia zisizo halali ni haki ya kila mtu kuzitafuna, ila Urais hatopata.Kidumu Ccm.


 

Muongo mkubwa,

Nyerere huyo huyo aliuliza pia inakuwaje afisa wa serikali (civil servant) anakuwa na nyumba South Africa na anaikodisha kwa Ubalozi??? Hela ameipata wapi ya kufanya hayo?

Nenda kamwambie mzee haijui CCM vizuri!
 
Hujijui ndio mana unasema hivyo mkuu

usiejijua huenda ukawa ni ww, nyerere ni mtu kama ww hupata na hukosa. sio mungu wala mtume wetu. kua tumuabudu na kuzani yy ndio ana maono kuliko wengine

ukiangalia mattz mengi tunayopambana nayo leo ni sehemeu ya madhaifu yake kwenye uongozi.

mwenyewe mara nyingi kakiri mapungufu yake kama mwanadamu
 
Nyerere akifufuka leo atasema hata uagzi siwepo 2015 bali kijana wake safi edward ngoyai laighwanan lowassa atinge tu ikulu
 
hivi nyerere ni kama nani? nyerere ni mtu kama wengine kwangu mm sioni kua kila kitu tuseme angekua nyerere, upuuzi tu

Mtu wa pwani bila shaka utakuwa mzalamo au mndeleko unakuwa huna nidhamu kwa wakubwa na wazee waliotangulia mbele za haki,hv unaona tabu sana nyerere akisifiwa eeh,na mchango wa nyerere kwenye taifa hili hauna wa kulinganishwa nae,pengine kuna kasoro za hapa na pale na yeye alikuwa ni binadamu kuna wakati alikuwa anakosea,kuwa na heshima
 
yani Nyerere wakumkubali LOW-HASA??
Mwl hakuwahi kuwa punguani kisi hicho.
 

nyerere kama ulivyo ww una mazuri yako, nnalopinga kutaka kutuaminisha kua nyerere kama vile yeye ndio mungu ndie ajuae mema na mabaya yetu, nani anafaa na nani hafai.

nnarejea upuuuzi tena wa wazi
 
watanzania kwa kweli mungu awaponye kuibiwa kooote uko mmesahau aiee nyie mna roho mbaya sana tena ni pepo limewaingia kwa jina la yesu liwatoke majitu majizi yamewaibia mnahali mbovu halafu bado eti anafaa yani hakuna mtu tz hii mpaka mkawapigia debe majmbazi?
 
nyerere kama ulivyo ww una mazuri yako, nnalopinga kutaka kutuaminisha kua nyerere kama vile yeye ndio mungu ndie ajuae mema na mabaya yetu, nani anafaa na nani hafai.

nnarejea upuuuzi tena wa wazi

Kwa hyo mkuu wewe unaona nyerere hakufanya lolote katika nchi hii,mmoja wa viongozi waliokuwa na maono katika bara.la afrika yeye alikuwa ni miongoni mwao watu kama nkrumah,nelson mandela,samola macheli patric lumumba na wengine wengi lazima tuwaenzi bana,ndiyo yapo mabaya yao lakini walifanyakazi kubwa mno vingenevyo tungeendelea kutawaliwa na wakoloni
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…