Kwanini nyama ya nguruwe haikaguliwi?

Kwanini nyama ya nguruwe haikaguliwi?

Nauliza tu wajumbe Ni kwanini mabuchani inapotoka kitimoto haikaguliwi kabla ya kuliwa tofauti na nyama nyingine Kama ya ng'ombe.

Kitimoto haikaguliwi kwasababu kwasababu kwa mujibu wa Quran, Biblia, Talmud nk, kitimoto ni najisi.

Najisi ni uchafu na toka lini uliona uchafu ukikaguliwa???----- uchafu unaondoshwa na kutupwa, na ndio maana mtu anakaguliwa usafi na sio uchafu.

Au umepata kusikia watu wanasema tukague uchafu wa nyumba hii au tukague usafi wa nyumba hii??!!---- ni usafi ndio unaokaguliwa na sio uchafu.
 
Boss uchafu wake ni nini?.
Kwanza baada ya kumwagiwa maji moto kisha wanamchuna.
Hivi ndugu zetu wajukuu Wa Ishmael mtoto Wa Suria Wa ibrahim.nyie ngurue hamli kwenu ni home pet animal.
Tuacheni sie watoto Wa bi mkubwa tufaidi .
Mim nakaa iringa Sehem inaitwa Ipamba. Nguruwe hachinjwi anagongwa na kitu kizito kisha Nyama inapakiwa kwenye Matroli. Imefungwa kwenye Viroba. Nakuambia kitu tunakiishi.

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
 
Hivi ndugu zetu wajukuu Wa Ishmael mtoto Wa Suria Wa ibrahim.nyie ngurue hamli kwenu ni home pet animal.
Tuacheni sie watoto Wa bi mkubwa tufaidi .
Hawa hata sio wajukuu wa Ismail hiko cheo walijipa kienyeji tu
..Hata mimi naweza kujipa ujukuu wa Archimedes
 
Isipokaguliwa ni makosa tu lakini ipo kwenye utaratibu kama nyama nyingine rasmi...ila ukiamua kula Panya, Mbwa hapo hakuna ukaguzi maana sio nyama rasmi na mnachukuliwa kama mliojitoa mhanga.
 
Mim nakaa iringa Sehem inaitwa Ipamba. Nguruwe hachinjwi anagongwa na kitu kizito kisha Nyama inapakiwa kwenye Matroli. Imefungwa kwenye Viroba. Nakuambia kitu tunakiishi.

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
Mbaba gonga mnyama huyo hakika hutajuta.
Kwanza mapepo yatakukimbia.we ulishasikia wapi jini mkristo?.
 
Back
Top Bottom