Aneel munawar
JF-Expert Member
- Aug 1, 2017
- 4,862
- 8,511
Labda ikiwa ya mchuzi,,ila iliyokaangwa ni halali kabisamdudu haramu
Labda ikiwa ya mchuzi,,ila iliyokaangwa ni halali kabisamdudu haramu
Hakuna machinjio ya Kitimoto, unachinja home tu kama Kuku wa Xmassinakaguliwa kama nyama zingine kiongozi
I'm done....🙌🙌🙌🙌Unaweza...Kwani ukienda hospitali wakakuomba kinyesi huwa wanaenda kupiga nacho picha?
Labda ikiwa ya mchuzi,,ila iliyokaangwa ni halali kabisa






wewe muislamu?Nauliza tu wajumbe Ni kwanini mabuchani inapotoka kitimoto haikaguliwi kabla ya kuliwa tofauti na nyama nyingine Kama ya ng'ombe.
Aaaahhhhb....eeeeehb....mkuu Kuna upepo Sana kipande hikii...sikusikii vizurriiiighhwewe muislamu?
Aaaahhhhb....eeeeehb....mkuu Kuna upepo Sana kipande hikii...sikusikii vizurriiiighh



kula mdudu achana na habari za mtumeAllahu ghabiTakbirrrr
😀Allahu ghabi
Kiongozi, hiyo nyama inakaguliwa baada ya kuchinja, lazima daktari apite kuikaguaHakuna machinjio ya Kitimoto, unachinja home tu kama Kuku wa Xmass
Mim nakaa iringa Sehem inaitwa Ipamba. Nguruwe hachinjwi anagongwa na kitu kizito kisha Nyama inapakiwa kwenye Matroli. Imefungwa kwenye Viroba. Nakuambia kitu tunakiishi.Boss uchafu wake ni nini?.
Kwanza baada ya kumwagiwa maji moto kisha wanamchuna.
Hivi ndugu zetu wajukuu Wa Ishmael mtoto Wa Suria Wa ibrahim.nyie ngurue hamli kwenu ni home pet animal.
Tuacheni sie watoto Wa bi mkubwa tufaidi .
Hawa hata sio wajukuu wa Ismail hiko cheo walijipa kienyeji tuHivi ndugu zetu wajukuu Wa Ishmael mtoto Wa Suria Wa ibrahim.nyie ngurue hamli kwenu ni home pet animal.
Tuacheni sie watoto Wa bi mkubwa tufaidi .
Kwani mkuu...mnyama lazima achinjwe ndo Aliwe?Mim nakaa iringa Sehem inaitwa Ipamba. Nguruwe hachinjwi anagongwa na kitu kizito kisha Nyama inapakiwa kwenye Matroli. Imefungwa kwenye Viroba. Nakuambia kitu tunakiishi.
Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
Mbaba gonga mnyama huyo hakika hutajuta.Mim nakaa iringa Sehem inaitwa Ipamba. Nguruwe hachinjwi anagongwa na kitu kizito kisha Nyama inapakiwa kwenye Matroli. Imefungwa kwenye Viroba. Nakuambia kitu tunakiishi.
Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
Hawajui hao wabishi aiseeMim nakaa iringa Sehem inaitwa Ipamba. Nguruwe hachinjwi anagongwa na kitu kizito kisha Nyama inapakiwa kwenye Matroli. Imefungwa kwenye Viroba. Nakuambia kitu tunakiishi.
Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app