Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,393
- 59,137
Kumbeee...wanafaidi aiseePale moshi kiborlon inatengenezwa tamu balaa.
Watu wengi wanaotoka mikoani kwenda kuzika moshi,wakishamaliza kuzika wakati Wa kurudi kama ni Arusha lazima coaster itie timu pale.