Kwanini nyama ya nguruwe haikaguliwi?

Kwanini nyama ya nguruwe haikaguliwi?

Mimi sijali aliyeandika (mtu)..najali najali alichoandika(hoja)

Sasa wewe ulimjibia mwenzako ndomana nikawaweka kundi moja.
ila hata nikicome down au nikacome up bado hoja yangu inabaki palepale kinyesi kinakaguliwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama hali yenyewe ndiyo hii, bora Sisiemu iendelee tu kutawala mazima
 
Sio kweli bro nyama ya kitimoto inakaguliwa kabisa kama umewahi kufika Iringa au ukienda Iringa tembelea machinjio ya nguruwe yapo Kihesa kilolo huko ndo nilishuhudia kwa mara ya kwanza kuona utumbo,kesho,masikio ya kitimoto yakitengenezwa vizuri na kuliwa,ndo huko ambako nilikuta supu ya kitimoto.Aisee kitimoto inakaguliwa na kupigwa ule muhuri
Hilo dudu hata madokta wenyewe wanalikimbia hawathubutu kulikagua
 
Nauliza tu wajumbe Ni kwanini mabuchani inapotoka kitimoto haikaguliwi kabla ya kuliwa tofauti na nyama nyingine Kama ya ng'ombe.
Usiandike kitu ambacho huna ushahidi nacho. Bora ungeuliza ukaambiwa.
Nyama ya nguruwe hususan katika jiji kongwe lenye kila namna ya maraha inakaguliwa kabla ya kupelekwa kwa walaji. Ndio maana ukifika kwa bucha ya mkuu wa meza utakuta nyama Ina mhuri wa mkaguzi.
Njoo Mbezi Luis uone kwa macho yako binafsi ili hofu ikutoke uendelee kufaidika na minofu halisi.
 
Nyama yenyewe chafu wakague ili iweje. Ndio maana uwa unakuta imefungwa kwenye viroba

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
Boss uchafu wake ni nini?.
Kwanza baada ya kumwagiwa maji moto kisha wanamchuna.
Hivi ndugu zetu wajukuu Wa Ishmael mtoto Wa Suria Wa ibrahim.nyie ngurue hamli kwenu ni home pet animal.
Tuacheni sie watoto Wa bi mkubwa tufaidi .
 
Unaishi kwakukariri mkuu. Unaweza kunipa sababu 5 kwann kitimoto ni kharanu?
Wewe ndiyo umekariri mpaka sababu tano ndipo ushawishike??? Kwa tamaa hiyo hata sababu zingekuwa mia na ushee, bado ungeishia kuguguna liskavenja lako.
 
Back
Top Bottom